Pole sana.Hujuwi kwamba tangu watoke hao uliowataja kimedodoke pua vya kutosha? Sasa ni kifo cha mende!!
Maamuzi yale ni ya halali yaliyopitishwa na uongozi halali wa chama.Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?
Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.
Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.
CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Umeona ume comment matagaSasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?
Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.
Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.
CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Nafikili mkuu huijui system ya chadema, wewe ndo imetoka iyo, na ndo hivyo wameisha potea, huku ccm ukiendelea kuwa kituko Cha karne duniani kote, ccm wanaendelea kubariki yale vyama mbadala wanalalamika kuhusu uchaguzi, wamepigiwa ngoma na wameicheza vizuri mwafaaKundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Ona huyu nae alivyo mweupe kichwani kuhusu siasa.Dr Slaa alimwaga siri kwani? usicheze na taasisi yoyote. Mwanasiasa yoyote alielelewa ndani ya Chadema anajua kesho au kesho kutwa anaweza kurudi kundini hivyo hana namna ya kuchunga kauli yake.
Silinde alisema atazunguka kote kuongea lakini wapi...Lijualikali alitoa adi machozi akasikika adi na Takukuru lakini wapi...hawa akina Mdee wataongea sana lakini it's too late.
Akina Kitila..Zito..Mwigamba...Msando...Kafulila lakini wapi.
Wanajua baada ya Magufuli kutoka Ccm maisha yatakua magumu sana lazima wachunge midomo yao.
Japo sishabikii mambo ya siasa lakini ingekuwa kuna siri nzito kiasi hicho sdhani kama chama wangewatimua wee unafikiri mbowe hana akili kiasi hichoKundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Unachokisema K.O ni sawa na Maradona (R.I.P) kufurahia goli la mkono lililopelekea kuchukua WC.Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?
Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.
Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.
CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Story tu,skandali zote za wizi,ufisadi wa ccm,ccm haijaanguka,Chadema itaendelea kuwepo,hayo madudu wanayaona wakishatoka chamani!?tumeishayazoea hayo,hao covid 19,ni Kama chewing gum,wakiisha utamu watatoswa tu,Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
very brave reply ..... great thinkerZitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti cdm itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au cdm hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Vipi kuhusu MTU mkubwa kama Ndugai kuihusisha ofisi ya bunge na kugushi nyaraka?Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Unashindwa kulewa yaani watu hawaipndi ccm tu,hata waongeeje wananchi watapotezea tuKundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Bro, Dona kantri inaitafuta 2tr kwa udi na uvumba [emoji3]Toka lini CCM mmekuwa na mapenzi na wabunge wa CHADEMA?
Haihitaji akili kubwa sana kugundua hawa mnaowatetea kwa nguvu kubwa wana faida kwenu.
Cha muhimu wapeni mavyeo huko kwenu.