Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika


Ndiyo maana kwa sababu ya uzalendo wao na kuipenda CHADEMA kwao kulikopitiliza wakamona wasiende kumwaga hizo siri walipoitwa kuhojiwa na kamati kuu jana? Hahaaahaaaa.

Hivi mleta mada jina lako jingine siyo kuwa ni hili wanalokuita "Mburula" kweli?
 
Mikwara mbuzi
 
Mr Tyang natamani sana nikuite maji na lakini sitaki nizoee Tania ya kutukana!
Unataka uchunguzi huo ili iweje? Kwani kama wametishwa na upande wa pili ni nani atakayekuwa na ujasiri wa kusema hayo?
Mambo yako wazi ukiona spika tayari anakingia kifua wapinzani aliokuwa anawatesa kuwadharau kuwafukuza na kuwadhalilisha kwa miaka mitano yote ya utawala huu!!
Uchunguzi????
 
A criminal sides with criminals. A sham and rigged election can never be a proper scale to measure the strength and weakness of the opposition. "Unalingia uchafuzi?"
 

Hizo siri nzito walizonazo hao 19 watashinda uzito wa siri walizokuwa nazo kina Lijualikali, Lwakatare, Silinde, Mwita Waitara na Cecil Mwambe + Edward Lowassa + Frederick Sumaye?

Ni ngumu sana mtu anayeuza utu wake kwa shekeli (fedha) ili ashibishe tumbo na tamaa zake za mwili awe na madhara kwa wengine zaidi ya kujidhuru yeye mwenyewe na nafsi yake...!!
 
Labda siri nzito ni malaika kuwa na bi mdogo kisarawe
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti cdm itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au cdm hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Huyo ni muuza k buguruni hizo siri nzito labda za meko kumega madc na mawaziri wake
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti cdm itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au cdm hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Asante sana
 
Bile ccm walivyopatwa kifafa jana saa 3 ucku,yani kifo cha mende wamekizoea wanajiangusha tuwatafune
 
Toka lini CCM mmekuwa na mapenzi na wabunge wa CHADEMA?

Haihitaji akili kubwa sana kugundua hawa mnaowatetea kwa nguvu kubwa wana faida kwenu.

Cha muhimu wapeni mavyeo huko kwenu.
Nooo my friend chadema ni ndugu zetu bhana...hakuna matata [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakitoa hizo siri itakuwa ni jambo jema kwa Magufuli na CCM yake, wewe endelea kumuomba Mungu hao wakina watoe hizo siri.
Wakitoa siri yoyote ile watakuwa ni dhaifu sana. Walikuwa kwenye maamuzi kwahiyo nao walikuwa washiriki wakubwa. Chochote watakachotamka watakuwa wanajisuta wenyewe. La msingi hapo wajibu hoja silizowapelekea kwenda kuapishwa. Je walisaliti au wanaonewa?
 
Lowasa,slaa,Sumaye,waitara, lijuakali,nassari wanaijua cdm nje ndani lkn maamuzi yao yameheshimiwa
 
Hujuwi kwamba tangu watoke hao uliowataja kimedodoke pua vya kutosha? Sasa ni kifo cha mende!!
Kifo chá mende Lakin kila uchwao mnatumia vyombo vyote lakni bado haijatetereka. Hebu angalieni nguvu kubwa mnayotumia badala ya akili.
 

Bila cdm hakuna pesa toka kwa mabeberu walipoiba awakuliwaza hilo
 
Kwa wingi wao na umri wao kweli wanasehemu za siri nyingi na nzito.
 
Mashinji, na wengine wengi walikuwa nazo pia.
Vipi ss kama ccm tumefaidika na nini juu yao
 
Kifo chá mende Lakin kila uchwao mnatumia vyombo vyote lakni bado haijatetereka. Hebu angalieni nguvu kubwa mnayotumia badala ya akili.
Linganisha chadema ya akn Dr.slaa,zitto na baadae akna lowasa,mshinji nk halafu ilinganishe na yakn lissu, huatkiw kukaza ubongo sana utakuwa umengudua kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…