Uchaguzi 2020 Kundi la WhatsApp lachukua sura mpya baada ya Tundu Lissu kutangazwa Mgombea Urais CHADEMA

Akikujibu nistue; nimechoshwa na story za yohana mjinga na Robinson cruso mvumbuzi wa nchi ya Australia
Kwa taatifa yako nadhani upo nyuma ya teknolojia. Alishajibiwa post za mwanzo kabisa na wadau.
Ukitumia link mnajiunga zaidi ya 300 kwa kundi moja. Uki add member kwa njia ya kawaida inagoma. Nina group jingine la wafugaji nilijiunga kupitia link tupo Zaidi ya 300 in one group. Mfyuuuu!!
 
Akikujibu nistue; nimechoshwa na story za yohana mjinga na Robinson cruso mvumbuzi wa nchi ya Australia
Kuna watu bado hawaijiwi na akili. Kampeni za mafanikio ziko vijijini, wao wanaleta kampeni JF yenye wanachama sawa na jimbo moja la uchaguzi.
 
Inasikitisha kuona wastaafu wakizungushwa na mafao yao. Jibu ni Tundu Lissu 2020.
Umewahi kumsikia akizungumzia sayansi, uchumi au elimu? Yeye anazungumzia risasi 33, haki za binadamu na sheria hii na ile. Hakuna kiongozi hapo!!
 
Endeleeni kufuga
 
Kajisahau kudanganya vizuri kumbuka hapo kuna walioleft kwa kukosa tolerance [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mnadili na idadi tu, akili ndogo hizi. Kujoin wasap kwa link inabeba watu wengi sana. Upo nyuma shogaa angu, mfyuuuu!!
 
Umewahi kumsikia akizungumzia sayansi, uchumi au elimu? Yeye anazungumzia risasi 33, haki za binadamu na sheria hii na ile. Hakuna kiongozi hapo!!
Hata Mungu alimpa Musa amri kumi ili kuweka nidhamu na utii duniani na amri kumi zile ndiyo msingi wa sheria za leo.

Kungekuwa na Utawala wa katiba na sheria wastaafu wasingesumbuliwakupata mafao yao.
 
Shosti mwenye akili kubwa kampen unayopiga hapa ni kupoteza muda tu toa elimu vijijini mpate ushindi wa maana. October JF ikipigwa chini kwa dakika chache tu ushindi wa mitandaoni chaliii
Yaani mnadili na idadi tu, akili ndogo hizi. Kujoin wasap kwa link inabeba watu wengi sana. Upo nyuma shogaa angu, mfyuuuu!!
 
Shosti mwenye akili kubwa kampen unayopiga hapa ni kupoteza muda tu toa elimu vijijini mpate ushindi wa maana. October JF ikipigwa chini kwa dakika chache tu ushindi wa mitandaoni chaliii
Huko vijijini hali wanaiona wenyewe. Hata huyo mzee wangu aliyeparalaizi yupo kijijini na hajalipwa mafao yake sisi wanae ndo tunamtibu kwa kuhakikikisha anahudhuria clinic ya PB na Physiotherapy kila mwezi. Hayo mafao yake pengine yangetoa msaada wa matibabu makubwa na pengine hasingepata kabisa tatizo hilo.
 
Vijijini wanaisoma namba enzi na enzi na hawabadiliki mnadhan mabadiliko ni rahisi sana ngumu ndugu. Pole kwa mzee
 
Mbona waliyotumbuliwa wengi tu wamegombea udiwani na ubunge kupitia ccm?
Kuna waleeee...walisemekana wana vyeti feki..wengine kweli form4 hawakufanya vizuri ila wakafanya namna wakaenda vyuo wakafaulu na kuajiriwa wakiwa na utaalam waliosomea...wengine walikuwa wanakaribia kustaafu kabisa wakafukuzwa na bila hata senti kwa muda waliotumikia nchi....wakaambulia viharusi na magonjwa memgine....hao na familia zao wote wanasubiri tu kipenga wakamshangaze mtu...wakati wao wakifanyiwa hivyo bashite anaambiwa achape kazi...
 
Kuna watu bado hawaijiwi na akili. Kampeni za mafanikio ziko vijijini, wao wanaleta kampeni JF yenye wanachama sawa na jimbo moja la uchaguzi.
Hata mapokezi ya Lissu mlisema yanaratibiwa mtandaoni nyuma ya keyboard..mkasema hakuna atakayejitokeza uwanja wa ndege kumpokea...nadhani mliona hali ilivyokuwa..
 
Mpaka October 28 tutasikia ngonjera nyingi.
 
Kumpigia kura mgombea wa CCM ni matumizi mabaya ya akili
 
Sio hao walimu tu mkuu, karibu kila kundi limepigwa na serikali hii! Ukiuliza watumishi ni habari mbaya tupu! Ukiuliza wakulima ni kilio tu! Ukienda kwa wafanya biashara ni balaa tupu! Ukienda kwa wanafunzi na wahitimu vijana wa vyuo vikuu wanaohangaikia ajira miaka nenda rudi, ni mateso tu! Na sasa hata kwa wazee wastafu ambao ndio wengi huichagua CCM bila hata kujaji chochote nao sasa ni shida tupu!....Hakuna namna ni kuing'oa tu CCM ndio solution!
 
COVID 19 ? siku zote najua Mnawia ndio zuzu lao humu kumbe ako na washirika wake.
 
Mkuu jiongeze kidogo. Hata humu JF kuna mabadiliko makubwa sana. Nikupe mfano tu mdogo: Kuna watu waliovunjiwa nyumba zao jijin Dar na Serikali huku wakiwa na zuio la Mahakama. Serikali imeiweka Mahakama mfukoni na hadi hivi sasa watu wale hawajui hatma yao. Vp kwa ujio wa Mh TL si ukombozi kwao?? Mifano ni mingi.
 
Kila kiongozi ako na mazuri na mabaya yake nyie Chadomo mtakazana kutafuta mabaya yake ila wako ambao wataonesha mazuri yake.. usitoe conclusion base on negetivity kwa kuwa wewe unaona upande mmoja tu wa mabaya yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…