Kundi tunalolitaka Simba

Muda wa kupiga domo na kuimba taarab ndiyo unaelekea ukingoni. Ni suala tu la muda vilio na kelele za kuwakataa wachezaji, viongozi na benchi la ufundi kuanza kutawala tena.
 
Hilo kundi mzee wangu hutoboi mkipangiwa hivyo.....Mimi sio Yanga wala simba mimi ni mwana Azam fc....huwezi kufika 16 bora kama itakuwa hivyo.
hawezi fika 16 bora kwani sasahivi yupo wapi?
 
Hata Kama Simba atapigwa nje ndani ila Kuna rah yake ya kucheza caf championship bhna hi michezo isikie tu

Ndio hvyo Tena ngoja tuende shirikisho tukawaoneshe adabu wapuuz wote
 
Dada ako kila mimba ikifika miezi 6 inatoka .. ila anasema ni mafanikio je mtoto atakuja lini...
Hizo ni habari zenu akina mama mkae muhesabu siku zenu kwa pamoja
 
Hilo kundi mzee wangu hutoboi mkipangiwa hivyo.....Mimi sio Yanga wala simba mimi ni mwana Azam fc....huwezi kufika 16 bora kama itakuwa hivyo.

Unaongea kama humjui mnyama akiwa lupaso huwa anakuaje????hilo kundi mnyama anapita tena kwa point 10+
 
Mpira wa africa hii hakuna timu itatamani kukutana na simba..NARUDIA HAKUNA!! Wanajua kinachotokaega kwa mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…