Wamuyaya
Member
- Apr 4, 2021
- 73
- 72
Wapendwa naleta uzi huu mbele yenu kwa sababu mimi ni miongoni mwa wanaume wachache kama siyo wengi, waliyowahi kupata fursa ya kukata utepe!
Binafsi nimewahi pata bahati ya kukata utepe/kubikiri wasichana 7 mwaishani mwangu. Kwa sasa nikiwa na umri wa 40+ nilishastaafu kufanya hayo mambo na nikaamua kumrudia Mola.
Kuna swali huwa najiuliza...Hivi kila mwanamke angeolewa na mwanaume aliyemtoa BIKRA yake, ingekiwaje? Ina mama mimi ningekuwa na wake 7!?
Je unafikiri kungekuwa na sheria ya aina hii "kila mwanamke aolewe na mwanaume aliyemkata utepe", Vitendo vya zinaa kabla ya kuoa/kuolewa vingepungua? Bila shaka jibu ni YES, kwani hata mimi nisingeweza kuwapitia hao 7, maana sheria ingenibana.
Nawatakia siku njema
KUMBUKA: KUFANYA TENDO LA NDOA KABLA YA KUOA/KUOLEWA NI DHAMBI!