Kungekuwa na sheria ya "kila mwanamke aolewe na mwanaume aliyemkata utepe"

Kungekuwa na sheria ya "kila mwanamke aolewe na mwanaume aliyemkata utepe"

Sasa wale wanao nyandua mbuzi na kuku ingekuwaje?[emoji1787][emoji1787]



Kukuuuu [emoji239][emoji239][emoji239]
 
Wapendwa naleta uzi huu mbele yenu kwa sababu mimi ni miongoni mwa wanaume wachache kama siyo wengi, waliyowahi kupata fursa ya kukata utepe!

Binafsi nimewahi pata bahati ya kukata utepe/kubikiri wasichana 7 mwaishani mwangu. Kwa sasa nikiwa na umri wa 40+ nilishastaafu kufanya hayo mambo na nikaamua kumrudia Mola.

Kuna swali huwa najiuliza...Hivi kila mwanamke angeolewa na mwanaume aliyemtoa BIKRA yake, ingekiwaje? Ina mama mimi ningekuwa na wake 7!?

Je unafikiri kungekuwa na sheria ya aina hii "kila mwanamke aolewe na mwanaume aliyemkata utepe", Vitendo vya zinaa kabla ya kuoa/kuolewa vingepungua? Bila shaka jibu ni YES, kwani hata mimi nisingeweza kuwapitia hao 7, maana sheria ingenibana.

Nawatakia siku njema

KUMBUKA: KUFANYA TENDO LA NDOA KABLA YA KUOA/KUOLEWA NI DHAMBI!
KUMBUKA: KUFANYA TENDO LA NDOA KABLA YA KUOA/KUOLEWA NI DHAMBI[emoji3064][emoji15][emoji848]
Inapatikana kitabu cha ngapi mstari wa ngapi hii?
By the way kuna wengine wangeolewa na baiskeli
 
Keep smiling
Huu utamu uliowekwa kwa wanawake ni kwa ajili yetu
 
Binafsi nimewahi pata bahati ya kukata utepe/kubikiri wasichana 7 mwaishani mwangu
Una hakika wote hao 7 zilikuwa bikra za kweli?!
Siku hizi zipo za kutengeneza kwa dawa za Kichina..
Unaweza kukata utepe mdada kumbe ana watoto kadhaa waliopita hapo hapo, siyo kwa kisu!
 
Una hakika wote hao 7 zilikuwa bikra za kweli?!
Siku hizi zipo za kutengeneza kwa dawa za Kichina..
Unaweza kukata utepe mdada kumbe ana watoto kadhaa waliopita hapo hapo, siyo kwa kisu!
101%
Uhaki mkuu!

Ila kubikiri ni kazi kubwa hadi ubomoe ukuta si mchezo...Mimi hadi mashine imepinda kwa sababu hiyo.
 
Utulie hivyo hivyo, unatuambiandhambi kwakuwa ulishawala sio, ngoja na sisi tuone hiyo dhambi we uliijuaje
 
Inategemea na bikra yenyewe maana unamtoa bikra ya mbele halafu wenzako wanamtoa bikra ya nyuma
emoji41.png
Halafu kote kote kuna OG na kuna za Ghwanzou..!!
 
Back
Top Bottom