Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Unaweza usiamini hili...lakini
Kunguru anapojisikia vibaya, hukaa karibu na kkichuguu cha siafu na hutandaza mbawa zake, hukaa tuli, na kuwaacha mchwa wamshambulie.
Wanafanya hivyo kwa sababu kubwa: siafu hunyunyiza mwili wake asidi ya fomu, (formic acid) dutu ambayo hufanya kazi kama antiparasite ya asili.
Asidi hii humsaidia kunguru kuondoa fangasi, bakteria na vimelea hivyo kumwezesha kupona bila kuhitaji dawa.
Tabia hii inaitwa "anting" na imeonekana katika aina mbalimbali za ndege. Ni mfano wa ajabu wa kujitibu kwa wanyama.
Asili haiachi kutushangaza na hekima yake ya kimya isiyoweza kuigwa na binadamu mwerevu lakini akiyejawa ujinga mwingi!
Je ulishawahi kuona ile sinema ya Apcalypse? Vile yule mama alivyoshona kidonda cha mwanawe kwa vichwa vya siafu?