ndio hivyo hivyo.. ..na ndio hao haoKwenye kichuguu hukaa mchwa
Au mimi ndo sijui kutofautisha mchwa na siafu
Nimetokea familia ya vilinge mpaka nilipo chale mwili mzima 😃Hahaha 😂 kwani haya mambo ulikuwa unayajua kabla hatujakuletea humu jukwaani?
Kwa chale hunishindi.Nimetokea familia ya vilinge mpaka nilipo chale mwili mzima 😃
Ushawahi kaa juu ya moto ?Kwa chale hunishindi.
Nina chale hadi kwenye makucha na kwenye mboni za macho.
Hakika sijawahi.Ushawahi kaa juu ya moto ?
Tulia mkeo Lamomy hajakupikia ndege wa kiotani ?Hakika sijawahi.
Eti anasema shughuli zimembana hivyo nijipikie.Tulia mkeo Lamomy hajakupikia ndege wa kiotani ?
Jesuu lamomy 😂We komaa sina mume wala bwana humu..😏