Kunguru anapougua. Huwatafuta mchwa wamtibie

Kweli tumefundushwa kila ugonjwa una tiba, kasoro kifo tu

Asante sana bro kwa kuniongezea hili, kwa sasa nikija ntakaa karibu sana na vichuguu na kufanya utafiti

La kuongeza pia ukiona myama kama nyani amekaa peke yake kwenye mti akiwa anakula majani yake basi ujue huyo nyani anaumwa na anajitibu kwa dawa hiyo ya miti shamba
 
La kuongeza pia ukiona myama kama nyani amekaa peke yake kwenye mti akiwa anakula majani yake basi ujue huyo nyani anaumwa na anajitibu kwa dawa hiyo ya miti shamba🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Hajaenda shule lakini anajua kujitibu! Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!!
 
Naaam kwa elimu hii adhimu,
kipekee tunamshukuru sana Mama.
FB_IMG_1745601050344.jpg
 
sio kunguru peke yake ndege wengi hufanya anting lakini purpose ni hiyo kupata immunity dhidi ya fungus bacteria n.k
......Tabia hii inaitwa "anting" na imeonekana katika aina mbalimbali za ndege. Ni mfano wa ajabu wa kujitibu kwa wanyama.
 
La kuongeza pia ukiona myama kama nyani amekaa peke yake kwenye mti akiwa anakula majani yake basi ujue huyo nyani anaumwa na anajitibu kwa dawa hiyo ya miti shamba🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Pia ukimuona Mtani kakaa peke yake,ujue haoni kundule
 
sio kunguru peke yake ndege wengi hufanya anting lakini purpose ni hiyo kupata immunity dhidi ya fungus bacteria n.k
......Tabia hii inaitwa "anting" na imeonekana katika aina mbalimbali za ndege. Ni mfano wa ajabu wa kujitibu kwa wanyama.
ok 👍
 
Unaweza usiamini hili...lakini

Kunguru anapojisikia vibaya, hukaa karibu na kkichuguu cha siafu na hutandaza mbawa zake, hukaa tuli, na kuwaacha mchwa wamshambulie.

Wanafanya hivyo kwa sababu kubwa: siafu hunyunyiza mwili wake asidi ya fomu, (formic acid) dutu ambayo hufanya kazi kama antiparasite ya asili.

Asidi hii humsaidia kunguru kuondoa fangasi, bakteria na vimelea hivyo kumwezesha kupona bila kuhitaji dawa.

Tabia hii inaitwa "anting" na imeonekana katika aina mbalimbali za ndege. Ni mfano wa ajabu wa kujitibu kwa wanyama.

Asili haiachi kutushangaza na hekima yake ya kimya isiyoweza kuigwa na binadamu mwerevu lakini akiyejawa ujinga mwingi!
Je ulishawahi kuona ile sinema ya Apcalypse? Vile yule mama alivyoshona kidonda cha mwanawe kwa vichwa vya siafu?View attachment 3315450
Aisee
 
Back
Top Bottom