Siyo nusu yaani upo hapa 0.0001Hii kwangu leo ni mpya nilidhani najua mengi kuhusu nature kumbe hata nusu sijafika
ukiwa na D2 ndio utaelewa!Unaweza usiamini hili...lakini
Kunguru anapojisikia vibaya, hukaa karibu na kkichuguu cha siafu na hutandaza mbawa zake, hukaa tuli, na kuwaacha mchwa wamshambulie.
Wanafanya hivyo kwa sababu kubwa: siafu hunyunyiza mwili wake asidi ya fomu, (formic acid) dutu ambayo hufanya kazi kama antiparasite ya asili.
Asidi hii humsaidia kunguru kuondoa fangasi, bakteria na vimelea hivyo kumwezesha kupona bila kuhitaji dawa.
Tabia hii inaitwa "anting" na imeonekana katika aina mbalimbali za ndege. Ni mfano wa ajabu wa kujitibu kwa wanyama.
Asili haiachi kutushangaza na hekima yake ya kimya isiyoweza kuigwa na binadamu mwerevu lakini akiyejawa ujinga mwingi!
Je ulishawahi kuona ile sinema ya Apcalypse? Vile yule mama alivyoshona kidonda cha mwanawe kwa vichwa vya siafu?View attachment 3315450
Nini chanzo cha nyuzi zako kuwa za kipekee pekee?Unaweza usiamini hili...lakini
Kunguru anapojisikia vibaya, hukaa karibu na kkichuguu cha siafu na hutandaza mbawa zake, hukaa tuli, na kuwaacha mchwa wamshambulie.
Wanafanya hivyo kwa sababu kubwa: siafu hunyunyiza mwili wake asidi ya fomu, (formic acid) dutu ambayo hufanya kazi kama antiparasite ya asili.
Asidi hii humsaidia kunguru kuondoa fangasi, bakteria na vimelea hivyo kumwezesha kupona bila kuhitaji dawa.
Tabia hii inaitwa "anting" na imeonekana katika aina mbalimbali za ndege. Ni mfano wa ajabu wa kujitibu kwa wanyama.
Asili haiachi kutushangaza na hekima yake ya kimya isiyoweza kuigwa na binadamu mwerevu lakini akiyejawa ujinga mwingi!
Je ulishawahi kuona ile sinema ya Apcalypse? Vile yule mama alivyoshona kidonda cha mwanawe kwa vichwa vya siafu?View attachment 3315450
I salute you broUnaweza usiamini hili...lakini

Vyote Kwa pamoja maana kusoma ni jambo lenye mapana.Nini chanzo cha nyuzi zako kuwa za kipekee pekee?
1. Kusoma sana?
2. Deep meditation?
3. Kipaji?
Hii nilikuwa siijui Mkuu ubarikiwe sana elimu kubwa hii na yenye Mazingatio.Unaweza usiamini hili...lakini
Kunguru anapojisikia vibaya, hukaa karibu na kkichuguu cha siafu na hutandaza mbawa zake, hukaa tuli, na kuwaacha mchwa wamshambulie.
Wanafanya hivyo kwa sababu kubwa: siafu hunyunyiza mwili wake asidi ya fomu, (formic acid) dutu ambayo hufanya kazi kama antiparasite ya asili.
Asidi hii humsaidia kunguru kuondoa fangasi, bakteria na vimelea hivyo kumwezesha kupona bila kuhitaji dawa.
Tabia hii inaitwa "anting" na imeonekana katika aina mbalimbali za ndege. Ni mfano wa ajabu wa kujitibu kwa wanyama.
Asili haiachi kutushangaza na hekima yake ya kimya isiyoweza kuigwa na binadamu mwerevu lakini akiyejawa ujinga mwingi!
Je ulishawahi kuona ile sinema ya Apcalypse? Vile yule mama alivyoshona kidonda cha mwanawe kwa vichwa vya siafu?View attachment 3315450
Nadhani upwekeπͺ kimya kina majibu mengi sana.. Lakini pia ni msomaji sana wa kazi za wengine hivyo nyingine huzinakili kama zilivyo, nyingine huziboresha na nyingine huzitafsiriNini chanzo cha nyuzi zako kuwa za kipekee pekee?
1. Kusoma sana?
2. Deep meditation?
3. Kipaji?
Vijana wa kizazi hiki hawajui haya mambo.Unaweza usiamini hili...lakini
Kunguru anapojisikia vibaya, hukaa karibu na kkichuguu cha siafu na hutandaza mbawa zake, hukaa tuli, na kuwaacha mchwa wamshambulie.
Wanafanya hivyo kwa sababu kubwa: siafu hunyunyiza mwili wake asidi ya fomu, (formic acid) dutu ambayo hufanya kazi kama antiparasite ya asili.
Asidi hii humsaidia kunguru kuondoa fangasi, bakteria na vimelea hivyo kumwezesha kupona bila kuhitaji dawa.
Tabia hii inaitwa "anting" na imeonekana katika aina mbalimbali za ndege. Ni mfano wa ajabu wa kujitibu kwa wanyama.
Asili haiachi kutushangaza na hekima yake ya kimya isiyoweza kuigwa na binadamu mwerevu lakini akiyejawa ujinga mwingi!
Je ulishawahi kuona ile sinema ya Apcalypse? Vile yule mama alivyoshona kidonda cha mwanawe kwa vichwa vya siafu?View attachment 3315450
Kwanza tuheshimiane
Yes, Wala tusiwalaumu.Kwakuwa hawakufunzwa
Hahaha π kwani haya mambo ulikuwa unayajua kabla hatujakuletea humu jukwaani?Kwanza tuheshimiane