Kunguru anapougua. Huwatafuta mchwa wamtibie

Nadhani upweke๐Ÿ˜ช kimya kina majibu mengi sana.. Lakini pia ni msomaji sana wa kazi za wengine hivyo nyingine huzinakili kama zilivyo, nyingine huziboresha na nyingine huzitafsiri
Nawaheshimu sana "wasomaji"
 
Kweli tumefundushwa kila ugonjwa una tiba, kasoro kifo tu

Asante sana bro kwa kuniongezea hili, kwa sasa nikija ntakaa karibu sana na vichuguu na kufanya utafiti

La kuongeza pia ukiona myama kama nyani amekaa peke yake kwenye mti akiwa anakula majani yake basi ujue huyo nyani anaumwa na anajitibu kwa dawa hiyo ya miti shamba
 
La kuongeza pia ukiona myama kama nyani amekaa peke yake kwenye mti akiwa anakula majani yake basi ujue huyo nyani anaumwa na anajitibu kwa dawa hiyo ya miti shamba๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
 
Ila we jamaa huwa ni kiboko na kamwe huwa sikatizi kwenye UZI wako bila kuusoma...
... na japo kuuelewa huwa ni mengineyo..
๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
 
Hajaenda shule lakini anajua kujitibu! Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!!
 
sio kunguru peke yake ndege wengi hufanya anting lakini purpose ni hiyo kupata immunity dhidi ya fungus bacteria n.k
......Tabia hii inaitwa "anting" na imeonekana katika aina mbalimbali za ndege. Ni mfano wa ajabu wa kujitibu kwa wanyama.
 
La kuongeza pia ukiona myama kama nyani amekaa peke yake kwenye mti akiwa anakula majani yake basi ujue huyo nyani anaumwa na anajitibu kwa dawa hiyo ya miti shamba๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
Pia ukimuona Mtani kakaa peke yake,ujue haoni kundule
 
sio kunguru peke yake ndege wengi hufanya anting lakini purpose ni hiyo kupata immunity dhidi ya fungus bacteria n.k
......Tabia hii inaitwa "anting" na imeonekana katika aina mbalimbali za ndege. Ni mfano wa ajabu wa kujitibu kwa wanyama.
ok ๐Ÿ‘
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ