Usiwapangie watu maisha mkuu...let them do whatever they like ilimradi tu hawajavunja Sheria za nchi.
Hana gari mbwa huyo,wivu tu umemjaaUsiwapangie watu maisha mkuu...let them do whatever they like ilimradi tu hawajavunja Sheria za nchi.
Wewe ndio unaweza kuonekana mshamba kwa kuwa umeweka dhana ya show off
Akili yako ina wivu wa kike mtu akining'iniza ufunguo wake sehemu salama kwa kuepuka kudondoka we unapungukiwa nini? Bora ungeleta changamoto yoyote inayosumbua jamii yako tuijadili. Pasaka njemaSuruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
Kuna kuzisahau mezani pia, kuning'iniza ni safe zaidi, sasa mleta mada kumbe zinamkera [emoji3][emoji3]Bora kuning'niza ili zisizondoke
Watu wanapesa hadi hawajui pa kuziweka na wana simu moja tu, huo nao ni ushamba mwingineWatu wengi wenye magari tuna simu zaidi ya moja... tafuta pesa utaelewa
Weka funguo hizo mfukoni, acha ushamba weweAkili yako ina wivu wa kike mtu akining'iniza ufunguo wake sehemu salama kwa kuepuka kudondoka we unapungukiwa nini? Bora ungeleta changamoto yoyote inayosumbua jamii yako tuijadili. Pasaka njema View attachment 2582312View attachment 2582313
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
waambie wachaga sio kila mtu banaSuruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
Wewe unavaa suruali mbovu, nunua suruali nzuriFunguo huwa zinatoboa mifuko., huo ni uzoefu wangu binafsi.
Wewe unavaa suruali mbovu, nunua suruali nzuri
Kuweka simu mfukoni ni ukilaza.Simu zina mionzi mikali sana zinapokuwa kwenye mbanano wa mwili na nguo.I phone macho matatu na ufunguo wa gari havijawahi kutosha mfukoni. Ngoja waje wakuambie tafuta hela upunguze makasiriko