Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Uwe na Wanachama 100 bara na visiwani.Hivi sifa ya kuanzisha chama inakuwaje na huwa wanavuta kiasi gani kwa ajili ya uchaguzi na lazima ufanye kampeni inchi nzima
Kipindi cha kampeni wanatoa ruzuku kama shilingi ngapiUwe na Wanachama 100 bara na visiwani.
Kampeni sio lazima lkn NI lazima ufungue kampeni
Aisee hapo data sina .Kipindi cha kampeni wanatoa ruzuku kama shilingi ngapi
Hii biashara itakuwa inalipa pa kutafutia mtajiAisee hapo data sina .
Huyu babake Gombale Mwiru,aliwahi mkuu wa mkoaMgombea Urais kupitia chama cha wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwilu, amesema kuwa chama hicho kitajikita katika kuhamasisha uzalendo pamoja na Amani ya nchi.
Kunje ameyasema hayo baada ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais Katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu
Aidha ameongeza kuwa katika kauli mbiu yao ya serikali ya mchakamchaka, wanaamini mihimili yote mitatu ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama inahitaji uzalendo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mgombea huyo aliwasili katika ofisi za INEC saa 9 na dakika 20 alasiri akiambatana na mgombea mwenza Chumu Ali.
They don’t look alikeHuyu Kunje ni ndugu yake na Kinje?
Toeni taratibu na mimi nianzishe chama wakuu 🤕 , Maana inaonekana inahitaji mtaji kidogo sana 🙌Hivi sifa ya kuanzisha chama inakuwaje na huwa wanavuta kiasi gani kwa ajili ya uchaguzi na lazima ufanye kampeni inchi nzima