Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Acha kumsingizia msichana wa kazi,
Wee sema wewe mwenyewe unahilo tatizo watu watakusaidia, kikwapa ni tatizo la kawaida kwa binadamu kwa sababu ni harufu ya jasho,
Anyway tumia deodorant kali kama vile adidas 48hrs au lynx ile yenye rangi ya black
deodorant zipo kibao
MziziMkavu;Underarm Odor Removal
Take a bath and dry your underarm completely. Cut a lemon into two pieces and rub the lemon slices in the underarm. Lemon, being a citrus fruit, is a natural astringent and shrinks the pores that cause sweating and odor. You can also rub potato slices and then apply any natural deodorant to your underarms.
With these treatments, never wear tight clothing; prefer to wear loose fitted cotton clothing in summer. If you have strong underarm odors then make sure to clean the area frequently with wet cloth often and then immediately rub the area with dry cloth because if the area remains wet, it will induce growth of bacteria.
kikwapa noma tu,kwani sisi watu weusi tunapenda harufu mbaya? WashawashaBado siamini kwa sababu naamini ni deodorant za kisasa tu zinazosaidia kwa sababu ukitumia zile za bei nafuu kikwapa lazima kiteme.
Kikwapa kwa weusi sio tatizo sana lakini wenzetu weupe ni noma
Hahaha! Eti kutokana na idadi ya kwapa! Mwenzetu unazo ngapi?
Achia hiyo idadi ya kwapa, hivi kujisugua limau kwapani huo muwasho wake inakuwaje? Labda tuwasubiri waje wengine waseme
Wakuu,
Kunuka harufu mbaya (kikwapa) ni ugonjwa au uchafu? Kuna dawa?
Kuna hii hali ambayo mtu ananuka kikwapa wakati wa kula tunda (wakati mwingine aaaah yuko safiii tu). Je inatokana na nini? Na nini kifanyike ili kuzuia hali hiyo?
Apake ukoko wa ugali au asugue na.limao anapotaka kuoga ukoko ynapatikana pale ugali ukiwa umeshapakuliwa ule unaorowekwa na maji ajipakae makwapani soon.utampenda tena trust me