Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Acha kumsingizia msichana wa kazi,
Wee sema wewe mwenyewe unahilo tatizo watu watakusaidia, kikwapa ni tatizo la kawaida kwa binadamu kwa sababu ni harufu ya jasho,
Anyway tumia deodorant kali kama vile adidas 48hrs au lynx ile yenye rangi ya black
![]()
hahahahahah Chilisosi umenifurahisha uliza wanaonijua namshukuru Mungu hilo la kwapa naliona na kusikia kwa wengine
Last edited by a moderator: