Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Acha kumsingizia msichana wa kazi,
Wee sema wewe mwenyewe unahilo tatizo watu watakusaidia, kikwapa ni tatizo la kawaida kwa binadamu kwa sababu ni harufu ya jasho,

Anyway tumia deodorant kali kama vile adidas 48hrs au lynx ile yenye rangi ya black
220px-Lynx_africa.jpg

hahahahahah Chilisosi umenifurahisha uliza wanaonijua namshukuru Mungu hilo la kwapa naliona na kusikia kwa wengine
 
Last edited by a moderator:
Underarm Odor Removal

Take a bath and dry your underarm completely. Cut a lemon into two pieces and rub the lemon slices in the underarm. Lemon, being a citrus fruit, is a natural astringent and shrinks the pores that cause sweating and odor. You can also rub potato slices and then apply any natural deodorant to your underarms.

With these treatments, never wear tight clothing; prefer to wear loose fitted cotton clothing in summer. If you have strong underarm odors then make sure to clean the area frequently with wet cloth often and then immediately rub the area with dry cloth because if the area remains wet, it will induce growth of bacteria.


37031_518796634847473_1673570597_n.png
MziziMkavu;
Umefanya vizuri kuweka post hii, ila nina imani kuwa hao wote waliokupa hizo likes siyo wahusika, yaani hawana vikwapa. Nasema hivi kwa sababu mtu mwenye kikwapa is so careless kiasi kwamba, kwanza hawezi tu hata kule kujua kuwa ana kikwapa, na hata akiambiwa atajua anaambiwa ni sababu ya chuki tu, na hii post kwake is so irrelevant kwamba hata kama kweli anajua, hawezi kuona hata haja ya kuipitia. Issue ya usafi kwake haina tija kabisa. Mimi ninaamini kuwa 99% ya vikwapa ni sababu ya carelessness na uchafu. Hakuna mtu anayeweza kuzaliwa na kikwapa by nature except kuwa mchafu na kutokujali!
 
Last edited by a moderator:
Bado siamini kwa sababu naamini ni deodorant za kisasa tu zinazosaidia kwa sababu ukitumia zile za bei nafuu kikwapa lazima kiteme.

Kikwapa kwa weusi sio tatizo sana lakini wenzetu weupe ni noma
kikwapa noma tu,kwani sisi watu weusi tunapenda harufu mbaya? Washawasha
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya kuoga chukua limao kata mara 2 kulingana na kwapa kisha kila kwapa lisuguliwe kwa limao lake kisha kaa dakika 30. Baada ya muda huo kaoge. Fanya hivyo ndani ya wiki 1 kisha nipe jibu.
 
We fanya hivyo, hata tiba ya sinando ipo zaidi ya limao. Ingekuwa kali kihivyo isingetumika sirini.
..JARIBU..
 
Wakuu,

Kunuka harufu mbaya (kikwapa) ni ugonjwa au uchafu? Kuna dawa?

Kuna hii hali ambayo mtu ananuka kikwapa wakati wa kula tunda (wakati mwingine aaaah yuko safiii tu). Je inatokana na nini? Na nini kifanyike ili kuzuia hali hiyo?
JINSI YA KUONDOA HARUFU MBAYA KWAPANI

Hakikisha unaoga kila siku ili kupunguza idadi ya bakteria kwapani kwani husababisha kuweka harufu mbaya kwenye mwili hasa majira ya joto kwa kuwa mara nyingi joto ndilo husababisha jasho na harufu kwapani hivyo unahitaji kuoga mara mbili kila siku, unaweza kutumia sabuni au anti-bacterial na maji ya moto.

Safisha nguo katika maji ya moto na sabuni ya kuondoa uchafu na mafuta, vaa mashati safi. Inapendekeza kuvaa mavazi yenye nyuzi za asili, kama vile pamba na hariri ili kusaidia kunyonya unyevunyevu na kuruhusu ngozi kupumua.

Wakati unafanya mazoezi, tumia nguo zenye vitambaa ambavyo vitanyonya unyevunyevu kwapani ili kuzuia harufu mbaya.

Vinega ‘siki' na mafuta ya chai ' tea tree oil'

Apple cider siki na vinega nyeupe, hupunguza harufu kwapani. Ili kukabiliana na harufu, loweka pamba katika vinega, paka kwenye makwapa badala ya deodorant. Mbali na tiba hiyo, tumia tea tree oil, inaweza pia kuwa na manufaa kwa sababu ni anti-bacterial.

Limao
Kata limao au ndimu nusu kwa kisu. Paka kipande cha limao ulichokata kwenye kwapa lako na hakikisha unalisugua mpaka litoe maji yake. Weka kwapa lako lipate hewa ili hiyo juice ya limao uliyopaka ikauke.

Asidi citric katika maji ya limao inasaidia kutoa tezi ya jasho hivyo kuondoa harufu.
 
Nilipokuwa ktk kipind cha balehe cku moja nilipita karibu na mama mzazi,akaskia haruf kali san ya kikwapa chang,akaniambia nikaoshe kwap zang kwa maj ya mchele,likawa zoez kila jion navizia maj ya mchel,wk tu kwisha habar yak mpaka leo fureshhh
 
Wanajamvi,

Kwanza natanguliza shukurani kama kuna mtu anajua dawa ya kikwapa naomba anisaidie maana demu wangu mda si mrefu nitamwacha nimemnunulia pafyumu za kila namna lakin wapi nisaidie wana jamii.
 
Apake ukoko wa ugali au asugue na.limao anapotaka kuoga ukoko ynapatikana pale ugali ukiwa umeshapakuliwa ule unaorowekwa na maji ajipakae makwapani soon.utampenda tena trust me
 
Apake ukoko wa ugali au asugue na.limao anapotaka kuoga ukoko ynapatikana pale ugali ukiwa umeshapakuliwa ule unaorowekwa na maji ajipakae makwapani soon.utampenda tena trust me

Hiyo ya limao hata mimi nimeisikia lakini sijapata feedback kwa aliyetumia!
 
Sio siri lakini kuna nyakwaha nyingine zinatema ni balaa but kumuacha shem kwa sababu hiyo sio fair.
 
Mkuu hata kama ni wewe mwenyewe poa tu ngoja wajuzi waje. Humu utasikia sijui rafiki yangu hiki au kile kumbe yeye mwenyewe. I am joking!
 
Jaman nimejaribu mpaka basi kuna wengine walinishauri eti haoge maji ya mchele lakin wapi
 
Back
Top Bottom