Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Maji ya ukoko wa ugali.
Ukishajiandaa unataka kutoka jisugue na kipande cha limao kwapani acha yale maji maji yakauke usijifute vaa nguo yako saaaafi kabisa siku nzima utakuwa fresh...
Uwe unajisugulia baking soda unaichanganya na maji kidogo...
 
Dr Majasho
 
Ni kawaida ukishazoea kutumia deodorant
 
Kwanini unatoka harufu ya kwapani? punguza kuwa na stress au mshituko, kama unajisikia kuumwa nenda hospt ukatibiwe, Harufu mwilini ni moja ya mawasiliano kwa wanadamu au wanyama kupitia pua, Kila harufu ya kwapa ina maana yake, je harufu yako inaashiria nini
 
Maji ya ukoko wa ugali.
Ukishajiandaa unataka kutoka jisugue na kipande cha limao kwapani acha yale maji maji yakauke usijifute vaa nguo yako saaaafi kabisa siku nzima utakuwa fresh...
Uwe unajisugulia baking soda unaichanganya na maji kidogo...
Hii kujisugua ni kwa muda gani au miaka yote ndo itakuwa hivyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…