Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Ukishapika ugali loweka sufuria kwa masaa 12 kisha nawia maji yenye ukoko kwa muda wa siku tano hali hiyo haitajirudia na ndani ya siku mbili utaanza kuona mafanikio

ukinawa sugua vizuri na uache kwa muda wa dakika 10 ndio usuuze miguu yako

kama miguu inatoka jasho sana pendelea open shoes ukiwa kwenye doZ


kwa suluhisho juu ya magonjwa mengine ikiwepo kupungua au kukosa nguvu za kiume
maralia sugu
kikohozi cha muda mrefu..

nipigie

0621068486
Fafanua mkuu hata kwa maji ya ugal wa muhogo ama sembe tu?
 
ahhaah dah siwezi kupinga kwasababu sijafanya utafiti kuhusu dawa yako
 
Hakuna kitu kama hicho dawa ni kujisafisha vizuri na kupendelea kuwa msafi.

-Ndumilakuwili-
 
Ukishapika ugali loweka sufuria kwa masaa 12 kisha nawia maji yenye ukoko kwa muda wa siku tano hali hiyo haitajirudia na ndani ya siku mbili utaanza kuona mafanikio

Ukinawa sugua vizuri na uache kwa muda wa dakika 10 ndio usuuze miguu yako

Kama miguu inatoka jasho sana pendelea open shoes ukiwa kwenye doZ

Kwa suluhisho juu ya magonjwa mengine ikiwepo kupungua au kukosa nguvu za kiume,maralia sugu,kikohozi cha muda mrefu..

nipigie

0621068486
Miguu na kwapa ni kusafisha vizuri na kupaka mchanganyiko wa ndimu na mafuta ya nazi

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
sallute wakuu...naomben msaada wenu nina kijana wa age 21yrs ana tatizo la kunuka miguu..yaan akivua viatu hapo ndan hakukaliki, miguu anaosha vizur na kabla ya kuvaa viatu hua anaikausha vizuri tu. je tatizo labda ni nini na dawa yake ni nini,,,msaada mwenye kujua
 
Aende hospital afanyiwe uchunguzi wa kina
 
Back
Top Bottom