Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua mkuu hata kwa maji ya ugal wa muhogo ama sembe tu?Ukishapika ugali loweka sufuria kwa masaa 12 kisha nawia maji yenye ukoko kwa muda wa siku tano hali hiyo haitajirudia na ndani ya siku mbili utaanza kuona mafanikio
ukinawa sugua vizuri na uache kwa muda wa dakika 10 ndio usuuze miguu yako
kama miguu inatoka jasho sana pendelea open shoes ukiwa kwenye doZ
kwa suluhisho juu ya magonjwa mengine ikiwepo kupungua au kukosa nguvu za kiume
maralia sugu
kikohozi cha muda mrefu..
nipigie
0621068486
Wa mahindFafanua mkuu hata kwa maji ya ugal wa muhogo ama sembe tu?
Miguu na kwapa ni kusafisha vizuri na kupaka mchanganyiko wa ndimu na mafuta ya naziUkishapika ugali loweka sufuria kwa masaa 12 kisha nawia maji yenye ukoko kwa muda wa siku tano hali hiyo haitajirudia na ndani ya siku mbili utaanza kuona mafanikio
Ukinawa sugua vizuri na uache kwa muda wa dakika 10 ndio usuuze miguu yako
Kama miguu inatoka jasho sana pendelea open shoes ukiwa kwenye doZ
Kwa suluhisho juu ya magonjwa mengine ikiwepo kupungua au kukosa nguvu za kiume,maralia sugu,kikohozi cha muda mrefu..
nipigie
0621068486
hata maralia haina dawaMiguu na kwapa ni kusafisha vizuri na kupaka mchanganyiko wa ndimu na mafuta ya nazi
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Asante nitajifunza kutokariri next time kwenye menginehata maralia haina dawa
moja mkuu usikariri