Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Fafanua mkuu hata kwa maji ya ugal wa muhogo ama sembe tu?
 
ahhaah dah siwezi kupinga kwasababu sijafanya utafiti kuhusu dawa yako
 
Hakuna kitu kama hicho dawa ni kujisafisha vizuri na kupendelea kuwa msafi.

-Ndumilakuwili-
 
Miguu na kwapa ni kusafisha vizuri na kupaka mchanganyiko wa ndimu na mafuta ya nazi

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
sallute wakuu...naomben msaada wenu nina kijana wa age 21yrs ana tatizo la kunuka miguu..yaan akivua viatu hapo ndan hakukaliki, miguu anaosha vizur na kabla ya kuvaa viatu hua anaikausha vizuri tu. je tatizo labda ni nini na dawa yake ni nini,,,msaada mwenye kujua
 
Aende hospital afanyiwe uchunguzi wa kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…