Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Wakunuka anajulikana, mtu kashinda anazulula kwenye vibanda vya kubetia kutwa nzima, harafu akirudi geto hakuna maji anaachaje kunuka?
Mech zimeisha had mwez wa nane
 
Na kuna wadada wanapichu zimetoboka nao waambie haswa skin tight
 
Labda ulipata mwanaume chingaa!!
Kazunguka kutwa nzima, jua lote LA kwake, jasho lote hilo kwa nn viatu na soks zisinuke???
Kama unapenda soks zinukie AC mchukue bank teller!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Usipime mkuu machinga wanasocks za kubadili tatizo ni kwa hao m- teller unakuta mshahara wote unakatwa mkopo wa gari akishalipa kodi ndiyo anaishia kufunga unga maisha
 
Wengi unakuta ni fungus na wengine uchafu, ila kwangu nashukuru hiyo kasumba sina
 
Kasema nani? Raha ya maisha kujiachia sasa ukae nchi ni kwako una wasiwasi ukipata taarifa za msiba mko ofisini mnaamua kwenda msibani baada ya kazi wenzako wote wanavua viatu wewe unabaki ooh ngoja niende msalani kwanza ukirudi wenzako wameshaingia ndani ndiyo ghafla unavua viatu na socks kwa pamoja
 
Umetembelewa na Bashite??

Kunuka miguu inategemea na soksi alizovaa,je ni mbichi au zina unyevunyevu?
Viatu alivyovaa,vichafu,vibichi au unyevunyevu.
Miguu yake ina fangasi? Au anavaa soksi bila ya kukausha miguu? Au anavaa viatu bila soksi?

Hakikisha viatu ni visafi,soksi ni safi na kavu. Kumbuka kukausha miguu vzuri kabla ya kuvaa soksi.
 
Uvaaji wa kiatu kimoja kwa muda mrefu, soksi kutokufuliwa... Nk
 
embu vaa nawew amerikani buti siku moja alaf uyatie maji tuone miguu yako inanuka au hainuki namaanisha kuna baadhi ya watu huwa wanatoka majasho ya miguu iwe baridi au joto yeye jasho ni kawaida ni lazima miguu inuke tena afadhal asivae soksi inaweza kuwa havina harufu viatu, kwahyo muache unyanyapaaji mungu ndio aliyepanga cha muhimu kama mumeo ndio yupo hivyo mtafutie dokta amtibu hilo tatzo
 
Na kuvaa socks zilizotoboka pia ni maumbile?
 
Na kuvaa socks zilizotoboka pia ni maumbile?
Ni jambo la kawaida hasa kwa watu watoao jasho miguuni hasa wakivaa viatu ambavyo havinyonyi jasho. Pia inatakiwa kwanza kabla ya kuvaa soksi au baada ya kunawa miguu/kuoga mwanaume unatakiwa ukaushe katikati ya vidole vya miguu. Aidha ukivaa soksi ukizivua usirudie kuzivaa kabla ya kuzifua na kuhakikisha zimekauka. Mtu akivua viatu ukasikia harufu jua ana fangasi (weupe kati ya vidole vya miguu)! Soksi kutoboka hilo lipo nje ya uwezo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…