valent
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 664
- 876
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Alafu mabishoo ndiyo huwa wananuka miguu,
Lemutz hata akiwa kavaa open shoes mguu unapwiha balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Alafu mabishoo ndiyo huwa wananuka miguu,
Lemutz hata akiwa kavaa open shoes mguu unapwiha balaa.
Mech zimeisha had mwez wa naneWakunuka anajulikana, mtu kashinda anazulula kwenye vibanda vya kubetia kutwa nzima, harafu akirudi geto hakuna maji anaachaje kunuka?
Tatizo mudaHata si ukaguzi lakini kwanini hamkagui socks zenu na zilizotoboka mtupe?
Tatizo muda[/QUOTE
Mhh muda wa kununua mpya au kufua?
Una socks safi?Uyu atakuwa anaangukia pabaya kila akibet Mara vibamia,,Mara kafananishwa... Mara rohoo ya kimaskini yaani sky full kulalamaa njoo kwngu utokuja jutia kuuchana mkeka
Usipime mkuu machinga wanasocks za kubadili tatizo ni kwa hao m- teller unakuta mshahara wote unakatwa mkopo wa gari akishalipa kodi ndiyo anaishia kufunga unga maishaLabda ulipata mwanaume chingaa!!
Kazunguka kutwa nzima, jua lote LA kwake, jasho lote hilo kwa nn viatu na soks zisinuke???
Kama unapenda soks zinukie AC mchukue bank teller!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wengi unakuta ni fungus na wengine uchafu, ila kwangu nashukuru hiyo kasumba sinaJamani makaka,
Unamkuta mkaka handsome, subiri muingie mahali muambiwe kuvua viatu, kwanza anajikanyaga kumbe socks zimetoboka, haya utamuonea huruma, sasa huo uvundo unaotoka miguuni, unaweza kumkana kuwa humfahamu. Kama umemkaribisha nyumbani kwako, ndioy inabidi ufungue madirisha ukidai ni joto, hata kama inabidi utupie kisweater na kibaridi hiki cha June. Wakinakaka ni nini hiki?
Anzisha uzi uyaseme hayoMbona nyie mnanuka ky hatuji watangaza humu.
Na anauwezo wa kunywa balimi kila siku lakini socks zimetobokaUsivae socks za mtumba. Ushauri wa bure.
Soksi za Pamba she 500/ jozi/pair.
Oneni aibu kumiliki socks zilizitobokaTukupe soksi zilizotoboka mkuu[emoji15]... au sijaelewa hapa[emoji3]
Haya husababishwa na nini kutokufua socks?Uvaaji wa kiatu kimoja kwa muda mrefu, soksi kutokufuliwa... Nk
Na kuvaa socks zilizotoboka pia ni maumbile?embu vaa nawew amerikani buti siku moja alaf uyatie maji tuone miguu yako inanuka au hainuki namaanisha kuna baadhi ya watu huwa wanatoka majasho ya miguu iwe baridi au joto yeye jasho ni kawaida ni lazima miguu inuke tena afadhal asivae soksi inaweza kuwa havina harufu viatu, kwahyo muache unyanyapaaji mungu ndio aliyepanga cha muhimu kama mumeo ndio yupo hivyo mtafutie dokta amtibu hilo tatzo
mim nahis itakuwa ni fashion kama zile gloves ambazo vidole vya mkono vinatokeza nje kwahyo kumebuniwa style na vidole vya miguu vitokeze njeNa kuvaa socks zilizotoboka pia ni maumbile?
Ni jambo la kawaida hasa kwa watu watoao jasho miguuni hasa wakivaa viatu ambavyo havinyonyi jasho. Pia inatakiwa kwanza kabla ya kuvaa soksi au baada ya kunawa miguu/kuoga mwanaume unatakiwa ukaushe katikati ya vidole vya miguu. Aidha ukivaa soksi ukizivua usirudie kuzivaa kabla ya kuzifua na kuhakikisha zimekauka. Mtu akivua viatu ukasikia harufu jua ana fangasi (weupe kati ya vidole vya miguu)! Soksi kutoboka hilo lipo nje ya uwezo wangu.Na kuvaa socks zilizotoboka pia ni maumbile?