Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Naona leo umeamua kutukana waume zako !Limekupata nini mkuu, lilikuwa jiwe tu halina mlengwa?
Hapo tafuta [emoji481] uchanganye sasa
Mmh kwani nimewataja majina ni ujumbe kwa wanaume woteNaona leo umeamua kutukana waume zako !
Hahaaa!Mmh kwani nimewataja majina ni ujumbe kwa wanaume wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Limekupata nini mkuu, lilikuwa jiwe tu halina mlengwa?
Mkuu nakuja mwambie mhudumu aweke na tusker baridiHapo tafuta [emoji481] uchanganye sasa
Sababu kubwa ni kutofuwa au kusafisha viatu na soksi.Jamani makaka,
Unamkuta mkaka handsome, subiri muingie mahali muambiwe kuvua viatu, kwanza anajikanyaga kumbe socks zimetoboka, haya utamuonea huruma, sasa huo uvundo unaotoka miguuni, unaweza kumkana kuwa humfahamu. Kama umemkaribisha nyumbani kwako, ndioy inabidi ufungue madirisha ukidai ni joto, hata kama inabidi utupie kisweater na kibaridi hiki cha June. Wakinakaka ni nini hiki?
Duh!!kumbe bibie mkongwe a.k.a chuma chakavuJamani mimi nikitoka na wakaka wa secondary itakuwa paedophile ya kike tena. Ni wakaka wanaofanya kazi tena wengine wanaitwa baba.
We! Balimi na soksi mbona vitu tofauti? Heshima kwanza mengine baadae. Kwi kwi kwi!Kwa wale wote wenye socks zilizotoboka fikiria kwanza kabla hujanunua balimi
Mkuu inamaana una pair moja tu ya viatu?Sababu kubwa ni kutofuwa au kusafisha viatu na soksi.
Unaweza vaa soksi safi kbsa lkn bado ikatoa harufu. Ukiona hivyo
angalia ndani ya viatu utakuta uchafu mweusi km mkaa umegandana. Ukiwa unasafisha viatu kwa wiki angalau mara moja huwezi kunuka
Mkuu ktk maisha usipende kujifikiria ww.Mkuu inamaana una pair moja tu ya viatu?
Hadi viatu viwe vichafu namna hiyo?
Ok ok labda aina ya kazi?
Si wote kipato kinalingana.
Wengine kutembea kwa miguu duuh kwaajili ya mazoezi tu. Na mitoko ya hapa na pale au upo pori unafanya hiking.
Watu wanaotembea sana kwa miguu (kutokana na shughuli zao) wawe na pair nyingi za viatu pia soksi.
Mwisho watu wale matunda aisee.
Tena unakula matunda kwenye empty stomach.
Fruits don't mix well with other types of food. Eat them on empty stomach.