Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Yaani leo sijacheka kama nilivyocheka kwa kuiona hii comment, eti akukopeshe kwa dhamana ya Barick.

Ngoja nicheki na Daby au Bonny, maana Asprin atakwambia ule kiti moto ya hiyo thamani badala ya kukupa hela.
Mwambie kabisa Numbisa aje achukue huu mzigo wake. Akitaka hela aende benki...
10502143_952141531466932_3650862621506676574_n-jpg.336067
 
JIFUNZE KUTEMBEA NA WANAUME WASAFI SIO UNATEMBEA NA MACHIZI AF UNAGENERALIZE WANAUME WOTEE
 
Jamani makaka,

Unamkuta mkaka handsome, subiri muingie mahali muambiwe kuvua viatu, kwanza anajikanyaga kumbe socks zimetoboka, haya utamuonea huruma, sasa huo uvundo unaotoka miguuni, unaweza kumkana kuwa humfahamu. Kama umemkaribisha nyumbani kwako, ndioy inabidi ufungue madirisha ukidai ni joto, hata kama inabidi utupie kisweater na kibaridi hiki cha June. Wakinakaka ni nini hiki?
Sababu kubwa ni kutofuwa au kusafisha viatu na soksi.
Unaweza vaa soksi safi kbsa lkn bado ikatoa harufu. Ukiona hivyo
angalia ndani ya viatu utakuta uchafu mweusi km mkaa umegandana. Ukiwa unasafisha viatu kwa wiki angalau mara moja huwezi kunuka
 
Binaadam wanatofautiana kimaumbile...wapo wengine hata waoge mara 3 kwa cku....harufu ya kikwapa haiondoki
 
Ah mmezidi kutuchunguza, tutakua hatuwahongi sasa, allahhh
 
Miaka kadhaa iliyopita 17+ years ili tatizo nlikuwa nayo siku moja moja lakini sio kila siku, kwa uzoefu ni kuvaa soksi zaidi ya siku moja lakini pia wakati wa kuoga kutokuosha vizuri katikati ya vidole (hii sio sababu hasa) lakini kubwa zaidi kutokufuta miguu vizuri mpaka katikati ya vidole na ukichanganya na kuvaa soksi zaidi ya siku moja plus kiatu ndani kutokukifuta kunasababishi mnato ndani
 
Sababu kubwa ni kutofuwa au kusafisha viatu na soksi.
Unaweza vaa soksi safi kbsa lkn bado ikatoa harufu. Ukiona hivyo
angalia ndani ya viatu utakuta uchafu mweusi km mkaa umegandana. Ukiwa unasafisha viatu kwa wiki angalau mara moja huwezi kunuka
Mkuu inamaana una pair moja tu ya viatu?

Hadi viatu viwe vichafu namna hiyo?

Ok ok labda aina ya kazi?

Si wote kipato kinalingana.

Wengine kutembea kwa miguu duuh kwaajili ya mazoezi tu. Na mitoko ya hapa na pale au upo pori unafanya hiking.

Watu wanaotembea sana kwa miguu (kutokana na shughuli zao) wawe na pair nyingi za viatu pia soksi.

Mwisho watu wale matunda aisee.

Tena unakula matunda kwenye empty stomach.

Fruits don't mix well with other types of food. Eat them on empty stomach.
 
Mkuu ktk maisha usipende kujifikiria ww.
Kuna watu wamelala na njaa wakati huu lkn unaweza cheka wameshindwa hata kupata buku 2? Maisha ni safari ndefu sana. Ni siri ya mtu moyoni
Hongera ww mwenyew pair zaid ya 1. Wengine tunayo mmoja tu
 
Back
Top Bottom