Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Kuna huyu dada anuka miguu akivua viatu kuingia ndani hakukaliki kwa harufu kama panya ameoza. Na mtu kama unanuka mwenyewe hujisikii au kusudi kuwapa watu karaha na ugonjwa wa mafua.

Na nini yasababisha kunuka miguu? Kuna siku nilimwambia ndugu wanuka miguu akanambia hata sinuki labda kuna kitu kimeoza hali ya kuwa harufu yatokea viatuni mwake.

Nini sababisha miguu kunuka?
 
Sababu za kunuka miguu ziko nyingi, moja wapo ni hizi:
1. Maambukizi ya fangasi miguuni.
2. Kutosafisha miguu vizuri. Namaanisha hasugui miguu na baada ya kuoga au kunawa hakaushi vizuri miguu na kisha anavaa viatu vya kufunika.
Usiku mwema.
 
Mdada akinuka miguu inahuzunisha kuliko mwanaume..anavaa ndula nin huyo mdada,..wadada si mnavaaga open shoes,vp sasa
 

Vipi na Mbunye yake haitemi / hainuki pia Mkuu?
 
Wadada juzi kati waliponda humu kuhusu wanaume kunuka miguu...sasa huyu mwenzao cjui itakuwaje
 
Nipe namba yake pm nitampenda na kumsaidia wala sitamwandika humu JF.

Ni jambo la ulimi wa nyama na nahitaji muhimu kwa pesa and it's not an issue of behind a keypad or keyboard as you have done here.
 
Ikumbukwe kuwa wasomali na wahindi wana asili ya uchafu. Wananuka si miguu tu ila hata sehemu za siri, makwapa, mwili na wala hawajishitukii.
 
Na yanini kumchunguza BATA mwisho ushindwe kumla ?
 
Yuko nchi gani huyo hata ulaya sasa hivi ni summer na mwendo wa sandals kama ni bongo hakuna baridi ya hivyo ya kijikiki na viatu wakati unajua una tatizo.
 
Ukishapika ugali loweka sufuria kwa masaa 12 kisha nawia maji yenye ukoko kwa muda wa siku tano hali hiyo haitajirudia na ndani ya siku mbili utaanza kuona mafanikio

Ukinawa sugua vizuri na uache kwa muda wa dakika 10 ndio usuuze miguu yako

Kama miguu inatoka jasho sana pendelea open shoes ukiwa kwenye doZ

Kwa suluhisho juu ya magonjwa mengine ikiwepo kupungua au kukosa nguvu za kiume,maralia sugu,kikohozi cha muda mrefu..

nipigie

0621068486
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…