Kununua gari toka Zanzibar

Kununua gari toka Zanzibar

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,231
Reaction score
1,491
Kuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je hiyo ni kweli?. Na kama ni kweli, kwa gari kama hiyo yaweza gharimu kiasi gani mpaka naiendesha huku Tanzania Bara. Anayejua au aliyewahi kununua gari toka Zanzibar naomba ushauri.
 
Xtrail achananayo sio gari hiyo.arafu jaribu kuuliza hiyo gari ina muda gani hapo znz maana pale kunachumvi inakula sana body chini usije juta.hongera pia.
Kuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je hiyo ni kweli?. Na kama ni kweli, kwa gari kama hiyo yaweza garimu kiasi gani mpaka naiendesha huku Tz Bara. Anayejua au aliyewahi kununua gari toka Zanzibar naomba ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumpoteza mwenzako. Chumvi iko Uengereza huko kwa sababu ya snow. Magari yanayotoka huko ndo yanakua yameoza body sio Zanzibar
 
Lazima ziwepo documents za kuingiza gari Zanzibar,na za kuitoa,umiliki halali wa mhusika muuzaji,documents za kusafirisha toka zenji,na kodi ya TRA..na ikishafika huku itabidi ukomae tena na kubadili number..au umiliki.
 
Xtrail achananayo sio gari hiyo.arafu jaribu kuuliza hiyo gari ina muda gani hapo znz maana pale kunachumvi inakula sana body chini usije juta.hongera pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba wewe. Umeshatumia xtrail. Wanaozitumia wanajua uzur wake wewe upo apo tu utakuta hujawai kumiliki hata stalet.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima ziwepo documents za kuingiza gari Zanzibar,na za kuitoa,umiliki halali wa mhusika muuzaji,documents za kusafirisha toka zenji,na kodi ya TRA..na ikishafika huku itabidi ukomae tena na kubadili number..au umiliki.
Asante sana mkuu. Paper work sina shaka nayo. Nina wasiwasi na gharama za TRA. Isijenigharimu zaidi. Kwani Dar zipo nyingi ila naangalia ahuweni ya gharama.
 
Xtrail achananayo sio gari hiyo.arafu jaribu kuuliza hiyo gari ina muda gani hapo znz maana pale kunachumvi inakula sana body chini usije juta.hongera pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio gari ni nini?.Punguza ujuaji wakijiweni usio na maana.Hizo gari wala hazina shida kama utazingatia vigezo na masharti yake.
 
You are right, mie nashangaa sana watu wamejenga mentality kwamba X trail si gari nzuri, sijapata sababu zao kwa undani. Ila kwa maoni yangu, ni gari nzuri tena imara,kama ulivyosema ukizingatia vigezo na masharti yake(wengi tunapenda short cuts). Mimi nimeitumia X trail ya 2005 tena sikuagiza bali nilinunua kwa mtu yapata miaka mitatu iliyopita, ila sijaona tatizo lake kubwa ambalo linaweza kunifanya nione haifai. Zingatia service na recommended oil (both engine na gear box), gari yako itadumu sana. Gari ina nafasi, ipo juu, four wheel nk. Nafikiri tusimtie woga mwenzetu, tumpe tu ushauri kuhusu kodi kama alivyoomba.
 
Kuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je hiyo ni kweli?. Na kama ni kweli, kwa gari kama hiyo yaweza garimu kiasi gani mpaka naiendesha huku Tz Bara. Anayejua au aliyewahi kununua gari toka Zanzibar naomba ushauri.
fanya hivi... take risk nunua gari kodi jahazi pitishia bagamoyo kiulaiiiiini ngoma inaingia mjini japo sijui upo wapi na kama waijua bahar au laa
 
Kuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je hiyo ni kweli?. Na kama ni kweli, kwa gari kama hiyo yaweza garimu kiasi gani mpaka naiendesha huku Tz Bara. Anayejua au aliyewahi kununua gari toka Zanzibar naomba ushauri.

Xtrail sio gari inayofaa kwa mtu wa kipato cha chini au kati kwani ni gharama sana kuitunza hasa pale inapohitaji spare, mfano nenda dukani Kariakoo ulizia lens yake ya taa za nyuma au power window halafu ulizia gari nyingine kama Rav 4 au Noah hapo utajua naongelea nini na kumbuka gari hii ili idumu inataka spare mpya na genuine, pia jaribu kupita kwenye magereji uione Xtrail iliyogongwa utagundua kuwa robo ya bodi ni karatasi au kwa maana nyingine huwezi nyoosha labda uite fundi viatu ashonee na uzi au uagize piece mpya, na kama kawaida ya Nissan mafundi mtaani wanaozifahamu ni wachache...kwa taarifa yako gari hizi wengi wamezipaki ndani na kuhakikisha hicho kitu tangaza kuwa unatafuta Xtrail kutoka bara uone watakavyokugombania, mkuu kabla ya biashara hiyo kumbuka majuto ni mjukuu
 
Back
Top Bottom