Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Kuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je hiyo ni kweli?. Na kama ni kweli, kwa gari kama hiyo yaweza gharimu kiasi gani mpaka naiendesha huku Tanzania Bara. Anayejua au aliyewahi kununua gari toka Zanzibar naomba ushauri.