Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Kuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je hiyo ni kweli?. Na kama ni kweli, kwa gari kama hiyo yaweza garimu kiasi gani mpaka naiendesha huku Tz Bara. Anayejua au aliyewahi kununua gari toka Zanzibar naomba ushauri.
Acha kumpoteza mwenzako. Chumvi iko Uengereza huko kwa sababu ya snow. Magari yanayotoka huko ndo yanakua yameoza body sio ZanzibarXtrail achananayo sio gari hiyo.arafu jaribu kuuliza hiyo gari ina muda gani hapo znz maana pale kunachumvi inakula sana body chini usije juta.hongera pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumpoteza mwenzako. Chumvi iko Uengereza huko kwa sababu ya snow. Magari yanayotoka huko ndo yanakua yameoza body sio Zanzibar
Acha ushamba wewe. Umeshatumia xtrail. Wanaozitumia wanajua uzur wake wewe upo apo tu utakuta hujawai kumiliki hata stalet.Xtrail achananayo sio gari hiyo.arafu jaribu kuuliza hiyo gari ina muda gani hapo znz maana pale kunachumvi inakula sana body chini usije juta.hongera pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu. Paper work sina shaka nayo. Nina wasiwasi na gharama za TRA. Isijenigharimu zaidi. Kwani Dar zipo nyingi ila naangalia ahuweni ya gharama.Lazima ziwepo documents za kuingiza gari Zanzibar,na za kuitoa,umiliki halali wa mhusika muuzaji,documents za kusafirisha toka zenji,na kodi ya TRA..na ikishafika huku itabidi ukomae tena na kubadili number..au umiliki.
Sio gari ni nini?.Punguza ujuaji wakijiweni usio na maana.Hizo gari wala hazina shida kama utazingatia vigezo na masharti yake.Xtrail achananayo sio gari hiyo.arafu jaribu kuuliza hiyo gari ina muda gani hapo znz maana pale kunachumvi inakula sana body chini usije juta.hongera pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are right, mie nashangaa sana watu wamejenga mentality kwamba X trail si gari nzuri, sijapata sababu zao kwa undani. Ila kwa maoni yangu, ni gari nzuri tena imara,kama ulivyosema ukizingatia vigezo na masharti yake(wengi tunapenda short cuts). Mimi nimeitumia X trail ya 2005 tena sikuagiza bali nilinunua kwa mtu yapata miaka mitatu iliyopita, ila sijaona tatizo lake kubwa ambalo linaweza kunifanya nione haifai. Zingatia service na recommended oil (both engine na gear box), gari yako itadumu sana. Gari ina nafasi, ipo juu, four wheel nk. Nafikiri tusimtie woga mwenzetu, tumpe tu ushauri kuhusu kodi kama alivyoomba.Sio gari ni nini?.Punguza ujuaji wakijiweni usio na maana.Hizo gari wala hazina shida kama utazingatia vigezo na masharti yake.
Mimi nina mtu anahiyo Gari, Kuna kipindi Nilitaka kununua kama hiyo, huyo huyo mtu akaniambia nisinunue kwani siyo Gari ni matakataka
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaiona takataka pindi utakapo zembea service au usipo zingatia maji engine ikachemsha
Usishindane na mimiUtaiona takataka pindi utakapo zembea service au usipo zingatia maji engine ikachemsha
fanya hivi... take risk nunua gari kodi jahazi pitishia bagamoyo kiulaiiiiini ngoma inaingia mjini japo sijui upo wapi na kama waijua bahar au laaKuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je hiyo ni kweli?. Na kama ni kweli, kwa gari kama hiyo yaweza garimu kiasi gani mpaka naiendesha huku Tz Bara. Anayejua au aliyewahi kununua gari toka Zanzibar naomba ushauri.
Kuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je hiyo ni kweli?. Na kama ni kweli, kwa gari kama hiyo yaweza garimu kiasi gani mpaka naiendesha huku Tz Bara. Anayejua au aliyewahi kununua gari toka Zanzibar naomba ushauri.
Mafundi gereji huwa mnaropoka sana, x-trail sio gari, sasa kwanini bado zinatoka matoleo kila leo na zinauza......Xtrail achananayo sio gari hiyo.arafu jaribu kuuliza hiyo gari ina muda gani hapo znz maana pale kunachumvi inakula sana body chini usije juta.hongera pia.
Sent using Jamii Forums mobile app