kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Kaka story za zaman hizo hakuna hvyo vitu siku hizi mim nimesafirisha gar mbil last yearMkuu naona kama uko interested na hiyo issue. Kuna maelezo nimeyapata nje ya JF. Ukishanunu hiyo gari kabla hujasafirisha, hakikisha umefanya mpango wa plate number na umeipata. Safirisha gari ikiwa tayari na number za Bara, ikifika unaichukua. Lakini ikifika then isubiri process ya number, kuna majanga ya kuchomolewa vitu kwenye gari. Nimekutana na hiyo news wati nadodosa.
Hebu tupe dondoo mkuu,tusije tukauingia mkenge maana mimi mwenyewe huwa nazitamani
Boss! Nimeipenda hiyo umeongea kisomi sana. Kuna rafiki yangu alinunua extrail bush tu zikaisha kununua ilikuwa majanga. Wakati za noa au ist ni 20 to 50.Xtrail sio gari inayofaa kwa mtu wa kipato cha chini au kati kwani ni gharama sana kuitunza hasa pale inapohitaji spare, mfano nenda dukani Kariakoo ulizia lens yake ya taa za nyuma au power window halafu ulizia gari nyingine kama Rav 4 au Noah hapo utajua naongelea nini na kumbuka gari hii ili idumu inataka spare mpya na genuine, pia jaribu kupita kwenye magereji uione Xtrail iliyogongwa utagundua kuwa robo ya bodi ni karatasi au kwa maana nyingine huwezi nyoosha labda uite fundi viatu ashonee na uzi au uagize piece mpya, na kama kawaida ya Nissan mafundi mtaani wanaozifahamu ni wachache...kwa taarifa yako gari hizi wengi wamezipaki ndani na kuhakikisha hicho kitu tangaza kuwa unatafuta Xtrail kutoka bara uone watakavyokugombania, mkuu kabla ya biashara hiyo kumbuka majuto ni mjukuu
Boss! Nimeipenda hiyo umeongea kisomi sana. Kuna rafiki yangu alinunua extrail bush tu zikaisha kununua ilikuwa majanga. Wakati za noa au ist ni 20 to 50.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea gari imeingia mwaka gani Zanzibar na ililipiwa kiasi gani,ukifika tra ya Zanzibar watakupa actual amount inayotakiwa kulipiwa (difference). Usafirishaj kwenye azam sea link ni 180,000 kisha utalipia wharfage upande wa Znzb kama 160,000.
Mkuu umetoa Maelezo Mengi nje ya Mada; Mtoa mada yeye ameshasema Gari Iko vizuri, yaan hana shaka nayo, Isipokuwa anachotaka ni Mambo ya Kodi na taratibu; Sasa ni vyema kama Unafahamu hayo umuwekee, Kuhusu Uzuri wa gari haitaji hilo;Xtrail sio gari inayofaa kwa mtu wa kipato cha chini au kati kwani ni gharama sana kuitunza hasa pale inapohitaji spare,
Mkuu umetoa Maelezo Mengi nje ya Mada; Mtoa mada yeye ameshasema Gari Iko vizuri, yaan hana shaka nayo, Isipokuwa anachotaka ni Mambo ya Kodi na taratibu; Sasa ni vyema kama Unafahamu hayo umuwekee, Kuhusu Uzuri wa gari haitaji hilo;
Nimekuelewa Mkuu, Ila Ungesema tu kwamba Kuhusu mambo ya Kodi haujui/Hufahamu; Lakini napenda nikushauri 1,2,3 kuhusu extrail matatizo yake etc.Sawa lakini tuseme mtu anakwambia anapenda kuwa shoga lakini hajui maumivu atakayopata wakati wa kupumuliwa je utamshauri kuhusu maumivu au utamshauri ubaya wote wa mtu kuingia kwenye biashara hiyo ya ushoga?
Nimekuelewa Mkuu, Ila Ungesema tu kwamba Kuhusu mambo ya Kodi haujui/Hufahamu; Lakini napenda nikushauri 1,2,3 kuhusu extrail matatizo yake etc.
Samahani mkuu, WHARFAGE ni kitu gani?Inategemea gari imeingia mwaka gani Zanzibar na ililipiwa kiasi gani,ukifika tra ya Zanzibar watakupa actual amount inayotakiwa kulipiwa (difference). Usafirishaj kwenye azam sea link ni 180,000 kisha utalipia wharfage upande wa Znzb kama 160,000.
Kwani hy muomba ushauri umeambiwa ni masikini?Xtrail sio gari inayofaa kwa mtu wa kipato cha chini au kati kwani ni gharama sana kuitunza hasa pale inapohitaji spare, mfano nenda dukani Kariakoo ulizia lens yake ya taa za nyuma au power window halafu ulizia gari nyingine kama Rav 4 au Noah hapo utajua naongelea nini na kumbuka gari hii ili idumu inataka spare mpya na genuine, pia jaribu kupita kwenye magereji uione Xtrail iliyogongwa utagundua kuwa robo ya bodi ni karatasi au kwa maana nyingine huwezi nyoosha labda uite fundi viatu ashonee na uzi au uagize piece mpya, na kama kawaida ya Nissan mafundi mtaani wanaozifahamu ni wachache...kwa taarifa yako gari hizi wengi wamezipaki ndani na kuhakikisha hicho kitu tangaza kuwa unatafuta Xtrail kutoka bara uone watakavyokugombania, mkuu kabla ya biashara hiyo kumbuka majuto ni mjukuu
Kwenye clearence na usafirishaji bado ni hiyo hiyoNilinunua gari Zanzibar na nilichofanya nilienda na Document TRA ya Zanzibar kujua kiasi ambacho kililipiwa wakati inaingia Gari hiyo Zanzibar ,baada ya hapo nakaenda TRA ya Bongo wakatipa Amount kamili na tofauti yake ilikuwa million moja tu ambayo nilipaswa kulipia, maana Zanzibar kodi yao IPO chini ukilinganisha na TZ bara.
Ikawa hivi sasa:
Ongezeko la kodi 1,000,000
Kusafirisha gari 300,000 - 350 ,000
Clearence 500,000 inategemea na Agent
Gari ikawa mkononi ila sijui kwa sasa mambo yakoje zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa njia hii atakapotaka kuisajili atadhibitisha umiliki kwa documents zipi? Maana lazma iwe na plate number na kadi ya gari ya Tanzania bara. How will he handle it maana naiskia harufu ya pingu na jela kama mtu akidakwa kafanya huo mchezo.fanya hivi... take risk nunua gari kodi jahazi pitishia bagamoyo kiulaiiiiini ngoma inaingia mjini japo sijui upo wapi na kama waijua bahar au laa