Kununua gari toka Zanzibar

Kununua gari toka Zanzibar

Inategemea gari imeingia mwaka gani Zanzibar na ililipiwa kiasi gani,ukifika tra ya Zanzibar watakupa actual amount inayotakiwa kulipiwa (difference). Usafirishaj kwenye azam sea link ni 180,000 kisha utalipia wharfage upande wa Znzb kama 160,000.
 
Mkuu naona kama uko interested na hiyo issue. Kuna maelezo nimeyapata nje ya JF. Ukishanunu hiyo gari kabla hujasafirisha, hakikisha umefanya mpango wa plate number na umeipata. Safirisha gari ikiwa tayari na number za Bara, ikifika unaichukua. Lakini ikifika then isubiri process ya number, kuna majanga ya kuchomolewa vitu kwenye gari. Nimekutana na hiyo news wati nadodosa.
Kaka story za zaman hizo hakuna hvyo vitu siku hizi mim nimesafirisha gar mbil last year
 
sio Gari kabisa hiyo
nimemuona mwanajeshi mmoja hapa Ihumwa Dom alimpitia mbuzi gari yake ikachanika mudguard ya mbele ikachanika tukaona kitu km karatasi au katani hivi (asbestos) haijaunganika hadi leo hata kwa puty au plasta
hizo si gari bodi yake haina uimara na kinga km moto au kubondeka
 
Xtrail sio gari inayofaa kwa mtu wa kipato cha chini au kati kwani ni gharama sana kuitunza hasa pale inapohitaji spare, mfano nenda dukani Kariakoo ulizia lens yake ya taa za nyuma au power window halafu ulizia gari nyingine kama Rav 4 au Noah hapo utajua naongelea nini na kumbuka gari hii ili idumu inataka spare mpya na genuine, pia jaribu kupita kwenye magereji uione Xtrail iliyogongwa utagundua kuwa robo ya bodi ni karatasi au kwa maana nyingine huwezi nyoosha labda uite fundi viatu ashonee na uzi au uagize piece mpya, na kama kawaida ya Nissan mafundi mtaani wanaozifahamu ni wachache...kwa taarifa yako gari hizi wengi wamezipaki ndani na kuhakikisha hicho kitu tangaza kuwa unatafuta Xtrail kutoka bara uone watakavyokugombania, mkuu kabla ya biashara hiyo kumbuka majuto ni mjukuu
Boss! Nimeipenda hiyo umeongea kisomi sana. Kuna rafiki yangu alinunua extrail bush tu zikaisha kununua ilikuwa majanga. Wakati za noa au ist ni 20 to 50.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss! Nimeipenda hiyo umeongea kisomi sana. Kuna rafiki yangu alinunua extrail bush tu zikaisha kununua ilikuwa majanga. Wakati za noa au ist ni 20 to 50.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie pia nina rafiki yangu Arusha kaitupa uani kwake anasubiria mtu aje amtoe kwenye janga hilo la Xtrail na karudi kwenye Noah na Corrola
 
Tutolee hata kamfano mkuu. Ili vichwa vigumu tuwe na picha kamili. Mfano wa hizo ulizosafirisha na kiasi ulicholipia bara na kiasi jumla.

Inategemea gari imeingia mwaka gani Zanzibar na ililipiwa kiasi gani,ukifika tra ya Zanzibar watakupa actual amount inayotakiwa kulipiwa (difference). Usafirishaj kwenye azam sea link ni 180,000 kisha utalipia wharfage upande wa Znzb kama 160,000.
 
Xtrail sio gari inayofaa kwa mtu wa kipato cha chini au kati kwani ni gharama sana kuitunza hasa pale inapohitaji spare,
Mkuu umetoa Maelezo Mengi nje ya Mada; Mtoa mada yeye ameshasema Gari Iko vizuri, yaan hana shaka nayo, Isipokuwa anachotaka ni Mambo ya Kodi na taratibu; Sasa ni vyema kama Unafahamu hayo umuwekee, Kuhusu Uzuri wa gari haitaji hilo;
 
Sawa lakini tuseme mtu anakwambia anapenda kuwa shoga lakini hajui maumivu atakayopata wakati wa kupumuliwa je utamshauri kuhusu maumivu au utamshauri ubaya wote wa mtu kuingia kwenye biashara hiyo ya ushoga?

Mkuu kumbuka kiini cha kutaka ushauri ni gari aina ya Xtrail halafu pia ni vizuri ukasoma comment no 44 hapo juu
 
Sawa lakini tuseme mtu anakwambia anapenda kuwa shoga lakini hajui maumivu atakayopata wakati wa kupumuliwa je utamshauri kuhusu maumivu au utamshauri ubaya wote wa mtu kuingia kwenye biashara hiyo ya ushoga?
Nimekuelewa Mkuu, Ila Ungesema tu kwamba Kuhusu mambo ya Kodi haujui/Hufahamu; Lakini napenda nikushauri 1,2,3 kuhusu extrail matatizo yake etc.
 
mkuu mimi nilinunua gari Zanzibar!
utakachopaswa kulipa kama kodi ni ile tofauti ya kodi kati ya zenji na bara.zenji kodi zao huwa ni pungufu kwa za huku bara,hivyo ukinunua gari kule wanaiangalia hiyo gari kwa mwaka huo ilivyoingizwa Zanzibar kama ingeingizwa bara kodi ingekuwa dola ngapi?then wanaangalia Zanzibar ililipiwa ushuru dola ngapi?then ile tofauti ndiyo unailipa wewe!
utapata advantage kama gari ilikuwa imported zenji angalau miaka mitatu nyuma kwakuwa dola ilikuwa chini hivyo difference huwa ndogo pia!
pia kuna kodi ya bandari,ubadilishaji umiliki na gharama ya kusafirisha kwenye meli.
in short kama unaweza kumwambia akutumie card ya hiyo gari ukampelekea argence wa huku anaweza kukupa jumla ya gharama zote.
 
pia mentality ya kuwa xtrail sio gari nzuri siyo sahihi kabisa,tatizo la sisi watanzania wengi tunapenda kurahisisha mambo katika matumizi na matengenezo,
Nissan nyingi wanatoa specific type ya oil ya engine, gearbox na diff utakayopaswa kutumia,Sasa sisi kwakuwa tumezoea magari ya Toyota yanayoweza wekwa hata oili ya kupima ndiyo maana Nissan zinatushinda.
Niliwahi kuendesha aina flani ya Nissan nikaenda kufanya service nikaambiwa oil yake ya gearbox elf 75 kwa lita,haya ndo watanzania wengi hatuyapendagi!!!
ila Nissan is a comfortable car!
 
Nimekuelewa Mkuu, Ila Ungesema tu kwamba Kuhusu mambo ya Kodi haujui/Hufahamu; Lakini napenda nikushauri 1,2,3 kuhusu extrail matatizo yake etc.

Hivi kaka kufungua website ya TRA nayo ni kazi kuipata... www.tra.go.tz? ukiingia huko utapata kila kitu kinachohusu kodi na usipotosheka wana namba zao ambazo unawapigia bureeeee 0800 750 075 au 0800 780 078 na ukiona wanakuzingua unaruka moja kwa moja kwa mfuga mbwa 0735 600 500,

Kwa imani yangu narudia tena Xtrail ni gari kwa ufahari lakini kwa sie bora ninunue beetle
 
Inategemea gari imeingia mwaka gani Zanzibar na ililipiwa kiasi gani,ukifika tra ya Zanzibar watakupa actual amount inayotakiwa kulipiwa (difference). Usafirishaj kwenye azam sea link ni 180,000 kisha utalipia wharfage upande wa Znzb kama 160,000.
Samahani mkuu, WHARFAGE ni kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xtrail sio gari inayofaa kwa mtu wa kipato cha chini au kati kwani ni gharama sana kuitunza hasa pale inapohitaji spare, mfano nenda dukani Kariakoo ulizia lens yake ya taa za nyuma au power window halafu ulizia gari nyingine kama Rav 4 au Noah hapo utajua naongelea nini na kumbuka gari hii ili idumu inataka spare mpya na genuine, pia jaribu kupita kwenye magereji uione Xtrail iliyogongwa utagundua kuwa robo ya bodi ni karatasi au kwa maana nyingine huwezi nyoosha labda uite fundi viatu ashonee na uzi au uagize piece mpya, na kama kawaida ya Nissan mafundi mtaani wanaozifahamu ni wachache...kwa taarifa yako gari hizi wengi wamezipaki ndani na kuhakikisha hicho kitu tangaza kuwa unatafuta Xtrail kutoka bara uone watakavyokugombania, mkuu kabla ya biashara hiyo kumbuka majuto ni mjukuu
Kwani hy muomba ushauri umeambiwa ni masikini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilinunua gari Zanzibar na nilichofanya nilienda na Document TRA ya Zanzibar kujua kiasi ambacho kililipiwa wakati inaingia Gari hiyo Zanzibar ,baada ya hapo nakaenda TRA ya Bongo wakatipa Amount kamili na tofauti yake ilikuwa million moja tu ambayo nilipaswa kulipia, maana Zanzibar kodi yao IPO chini ukilinganisha na TZ bara.

Ikawa hivi sasa:
Ongezeko la kodi 1,000,000
Kusafirisha gari 300,000 - 350 ,000
Clearence 500,000 inategemea na Agent

Gari ikawa mkononi ila sijui kwa sasa mambo yakoje zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye clearence na usafirishaji bado ni hiyo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fanya hivi... take risk nunua gari kodi jahazi pitishia bagamoyo kiulaiiiiini ngoma inaingia mjini japo sijui upo wapi na kama waijua bahar au laa
Sasa kwa njia hii atakapotaka kuisajili atadhibitisha umiliki kwa documents zipi? Maana lazma iwe na plate number na kadi ya gari ya Tanzania bara. How will he handle it maana naiskia harufu ya pingu na jela kama mtu akidakwa kafanya huo mchezo.
 
Back
Top Bottom