Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
ni kweli kabisa halafu watu wengi.hawajui kuwa market share ya vodacom imeshuka toka around 56% 2010/11 mpaka 36% 2015/16 wao wanaona wanaenda kupiga hela wakati hawajui hata expansion plan za mgtNaamini watu wengi watakuwa wamenunua hisa za vodacom wakitegemea mapato mazuri. Wizi mtupukutunisha mitaji yao ili waendelee kuwakamua WaTz
Na hiyo 'market share' zaidi ya robotatu yake ni kwenye mpesa ambayo hisa zake haziuzwi.ni kweli kabisa halafu watu wengi.hawajui kuwa market share ya vodacom imeshuka toka around 56% 2010/11 mpaka 36% 2015/16 wao wanaona wanaenda kupiga hela wakati hawajui hata expansion plan za mgt
duh kweli shule muhimu katika maamuzi.imagine biashara yenye kuwaingizia kipato kikubwa wameisajiri tofauti na hawauzi shares.they are very smart.halafu wajinga wanachekelea wanaona wanaenda kuimiliki Voda com!Na hiyo 'market share' zaidi ya robotatu yake ni kwenye mpesa ambayo hisa zake haziuzwi.
Hata CRDB wanahisia hupata gawio dogo sana kwa kila hisa. Na hivi serikali imebana fedha, ununuzi wa hisa siyo uwekezaji wenye pato na faida ya kuridhisha. Bora Vikoba na SACCOS
Vigumu kupewa faida ya bure waliyoitabikia wenzio.lazima ukubali kuliwa kwanza.Najaribu kuhusianisha uchumi wa Tanzania kwa sasa na masoko ya mitaji sipati majibu mazuri.
Najaribu pia kujiuliza Kampuni kama Vodacom (Private) kwa hapa kwetu kuingia DSE igawane faida na Wabongo, mhh! nguvu kubwa iliyotumika kuwashawishi waingie DSE ndiyo hiyo hiyo itakayotumika kuhakikisha kuwa wanatangaza hasara ili hizo hisa zishuke thamani na wamiliki waziuze na ili waendelee na as usual business. Najaribu tu kufikiria kwa mtazamo mwingine.
Nadhani JPM out of ignorance huwa anatoa matamshi akidhani anasaidia uchumi kumbe ndio anaharibu!! Kuna mifano miwili nitaielezea kwanza ni pale alipotamka kuwa serikali itumie benki ya CRDB kufanya banking transactions zake; pili pale alipoamua kumpendelea Dangote na kiwanda chake cha cement huko Mtwara!!! Maamuzi yake hayo yaliathiri ushindani katika sectors husika, bei ya hisa za kampuni za cement zilishuka hivyo kuathiri performance ya soko la hisa!!Tamko lake kuhusu CRDB iliipa benki hiyo undue advantage ikilinganishwa na benki nyingine hivyo kuwa na unfair competetion katika sector!
American economy where market forces decides/determine the value of shares differs adversely with our one man show decision,where politics run the economy. i hope you are in America,my regards to Mr Trump. stick to practical in TZ not what is in theory in books regarding Capital Market.
mkuu hata utumie jobbers! badala ya brokers tatizo liko kwa viongozi kutoa matamko ya upendeleo yenye kuathiri ushindani.rejea kuhimiza hela ziwekwe Nmb,kuzuia michanga ya ACACIA etc
time will tell,he is also capable of making it worse.do you think we have such freedom to advise him? not to that extent.kusema, kila kitu kinachosemwa ni speculations, sawa it jeopardize business confidence, but no one can quantify to what extend, the Stock Market at the moment is in turmoil simply because of broad access people have in trading these markets, that is number one thing, because in trading its all about VOLUME!
there are other factors under PESTE analysis like Political, environment, social, technology, economic etc - ulichosema ni one of the factors na ni political, hata IFM wamesema kwamba, President needs to do more to restore confidence; and i trust, he is capable of doing something good out of the current situation
you sound very naive.if dropping of transaction per day fall from 33:3 to 3:3 billion You call it brown out of proportion it is absurd.I think what is going on in TZ is blown out of proportions, even though i agree to some extend this is the case. I read and make follow up on what President is doing, at the moment you have people who are making about trivial things, this is a storm in tea cup; What JPM has started is good. and he should stick to his campaign promises and all will be ok - nevertheless TZ is still developing so no one will feel the change straight away;
I have been trading capital markets for a while, and the two goes together with politics to great extend, whenever there is political situations, there is more opportunities for money to be made;
Ninaamini washauri wa kiuchumi wengi nguli na wanaoinukia,wanaichukia na kuishangaa hali ilivyo nchini. Nina amini wanachukia na pengine wanasema sema kwa mkulu. Shida mkulu haambiliki. Anadhani uchumi wa nchi unashughulikiwa kwa kujifungia pekeyake katika maabara kama vile anafanya majaribio ya chemia.Nilikuwa mbioni kuandikia hiki kitu ila katika angle nyingine. Ila kwasababu umeandika na michango ya wadau itakayofuata itatia minofu na nnaamini aspect nyingi za ujinga unaoumiza soko la hisa unaotokea ikulu, utaguswa.
Kwakifupi sidhani kama rais ana utaratibu wakuanalyse cost -benefit dimensions za maamuzi yake..Maamuzi yake juu ya taasisi za fedha na makampuni makubwa yamekuwa very erratic at best.
Hajui athari za kuondoa confidence kwenye soko la hisa. Confidence ndio kila kitu kwenye soko la hisa. Watu wanawekeza, pamoja na kuangalia past trends, risk correlation between assets, management stability, na factors nyingine, ila kikubwa zaidi watu wanawekeza kwaajili ya matumaini ya kupata zaidi siku za mbele.
Sasa matamko na vitendo vya rais wetu yamekuwa yakipiga teke confidence kwenye masoko ya hisa. Kuna vitendo ambavyo yeye anaviona ni single, independent and isolated events lakini kiukweli investors hawavioni hivyo.
Ni myopic mind tu itadhani kwamba muwekezaji kwenye cement hawekezi kwenye sukari, bank au kwenye madini. Most investors invest in a portfolio of assets as a means of reducing risk. Hivyo wakiona maamuzi kwenye baadhi ya assets hayaeleweki, then overall confidence inakuwa hit.
Sasa rais anaua uchumi kwa assumption ya 'simple chemistry '!!!
you seems to backing blindly what he is uttering do you thing of people who invested their fortune/money on those ventures? where is fair competition of selling service product if the.president is campaigning for one bank? have you thought of the implications to other banks and general public?Overtime he will understand the impact of his statements but let's not jump in conclusion and make it sound like its the end of the world; he has his own reasons kuhimiza deposits ziende NMB, na the issue of minerals, He has good intentions but we just need to give him time to work out the best way forward;
you seems to backing blindly what he is uttering do you thing of people who invested their fortune/money on those ventures? where is fair competition of selling service product if the.president is campaigning for one bank? have you thought of the implications to other banks and general public?
time will tell,he is also capable of making it worse.do you think we have such freedom to advise him? not to that extent.
you sound very naive.if dropping of transaction per day fall from 33:3 to 3:3 billion You call it brown out of proportion it is absurd.
Also making money on political agenda is not guarantee phenonena.hence you might loose as well.
mkuu latest alisema hela/transactions zifanyike NMB kwakuwa walipewa gawio karibuni.sio CRDB. Hiyo CRDB anatamani hata aifilisi nadhani
Huu ni uongo mtakatifu tafuta Vodacom IPO prospectur soma uelewe usipende kulishwa maneno, Mpesa ni Moja ya product za Vodacom sasa unawezaje kutenganisha product za kampuni kwa mmiliki??mnapewaga matango pori ya vijiweni mnakurupuka tuSina uhakika kama wengi tunajua kuwa Vodacom inauza tu hisa "Voice & Data" ambazo haiingiizi kampuni faida kubwa kutokana na ushindani mkubwa. MPesa haiko kwenye kuuza hisa!