Kununua hisa Tanzania ni kucheza kamari

Kununua hisa Tanzania ni kucheza kamari

Mimi nimeamua kucheza hiyo "kamari". Nimenunua Hisa nyingi za Vodacom. Hata Magu akiziporomosha kwa sera zake, najua zitakuja kupanda tena siku aking'oka pale Magogoni.
 
Naamini watu wengi watakuwa wamenunua hisa za vodacom wakitegemea mapato mazuri. Wizi mtupukutunisha mitaji yao ili waendelee kuwakamua WaTz
ni kweli kabisa halafu watu wengi.hawajui kuwa market share ya vodacom imeshuka toka around 56% 2010/11 mpaka 36% 2015/16 wao wanaona wanaenda kupiga hela wakati hawajui hata expansion plan za mgt
 
ni kweli kabisa halafu watu wengi.hawajui kuwa market share ya vodacom imeshuka toka around 56% 2010/11 mpaka 36% 2015/16 wao wanaona wanaenda kupiga hela wakati hawajui hata expansion plan za mgt
Na hiyo 'market share' zaidi ya robotatu yake ni kwenye mpesa ambayo hisa zake haziuzwi.

Hata CRDB wanahisia hupata gawio dogo sana kwa kila hisa. Na hivi serikali imebana fedha, ununuzi wa hisa siyo uwekezaji wenye pato na faida ya kuridhisha. Bora Vikoba na SACCOS
 
duh kweli shule muhimu katika maamuzi.imagine biashara yenye kuwaingizia kipato kikubwa wameisajiri tofauti na hawauzi shares.they are very smart.halafu wajinga wanachekelea wanaona wanaenda kuimiliki Voda com!
 
Najaribu kuhusianisha uchumi wa Tanzania kwa sasa na masoko ya mitaji sipati majibu mazuri.
Najaribu pia kujiuliza Kampuni kama Vodacom (Private) kwa hapa kwetu kuingia DSE igawane faida na Wabongo, mhh! nguvu kubwa iliyotumika kuwashawishi waingie DSE ndiyo hiyo hiyo itakayotumika kuhakikisha kuwa wanatangaza hasara ili hizo hisa zishuke thamani na wamiliki waziuze na ili waendelee na as usual business. Najaribu tu kufikiria kwa mtazamo mwingine.
 
Vigumu kupewa faida ya bure waliyoitabikia wenzio.lazima ukubali kuliwa kwanza.
 
Nadhani JPM out of ignorance huwa anatoa matamshi akidhani anasaidia uchumi kumbe ndio anaharibu!! Kuna mifano miwili nitaielezea kwanza ni pale alipotamka kuwa serikali itumie benki ya CRDB kufanya banking transactions zake; pili pale alipoamua kumpendelea Dangote na kiwanda chake cha cement huko Mtwara!!! Maamuzi yake hayo yaliathiri ushindani katika sectors husika, bei ya hisa za kampuni za cement zilishuka hivyo kuathiri performance ya soko la hisa!!Tamko lake kuhusu CRDB iliipa benki hiyo undue advantage ikilinganishwa na benki nyingine hivyo kuwa na unfair competetion katika sector!

kusema, kila kitu kinachosemwa ni speculations, sawa it jeopardize business confidence, but no one can quantify to what extend, the Stock Market at the moment is in turmoil simply because of broad access people have in trading these markets, that is number one thing, because in trading its all about VOLUME!

there are other factors under PESTE analysis like Political, environment, social, technology, economic etc - ulichosema ni one of the factors na ni political, hata IFM wamesema kwamba, President needs to do more to restore confidence; and i trust, he is capable of doing something good out of the current situation
 
American economy where market forces decides/determine the value of shares differs adversely with our one man show decision,where politics run the economy. i hope you are in America,my regards to Mr Trump. stick to practical in TZ not what is in theory in books regarding Capital Market.

I think what is going on in TZ is blown out of proportions, even though i agree to some extend this is the case. I read and make follow up on what President is doing, at the moment you have people who are making about trivial things, this is a storm in tea cup; What JPM has started is good. and he should stick to his campaign promises and all will be ok - nevertheless TZ is still developing so no one will feel the change straight away;

I have been trading capital markets for a while, and the two goes together with politics to great extend, whenever there is political situations, there is more opportunities for money to be made;
 
mkuu hata utumie jobbers! badala ya brokers tatizo liko kwa viongozi kutoa matamko ya upendeleo yenye kuathiri ushindani.rejea kuhimiza hela ziwekwe Nmb,kuzuia michanga ya ACACIA etc

Overtime he will understand the impact of his statements but let's not jump in conclusion and make it sound like its the end of the world; he has his own reasons kuhimiza deposits ziende NMB, na the issue of minerals, He has good intentions but we just need to give him time to work out the best way forward;
 
kusema, kila kitu kinachosemwa ni speculations, sawa it jeopardize business confidence, but no one can quantify to what extend, the Stock Market at the moment is in turmoil simply because of broad access people have in trading these markets, that is number one thing, because in trading its all about VOLUME!

there are other factors under PESTE analysis like Political, environment, social, technology, economic etc - ulichosema ni one of the factors na ni political, hata IFM wamesema kwamba, President needs to do more to restore confidence; and i trust, he is capable of doing something good out of the current situation
time will tell,he is also capable of making it worse.do you think we have such freedom to advise him? not to that extent.
 
I think what is going on in TZ is blown out of proportions, even though i agree to some extend this is the case. I read and make follow up on what President is doing, at the moment you have people who are making about trivial things, this is a storm in tea cup; What JPM has started is good. and he should stick to his campaign promises and all will be ok - nevertheless TZ is still developing so no one will feel the change straight away;

I have been trading capital markets for a while, and the two goes together with politics to great extend, whenever there is political situations, there is more opportunities for money to be made;
you sound very naive.if dropping of transaction per day fall from 33:3 to 3:3 billion You call it brown out of proportion it is absurd.
Also making money on political agenda is not guarantee phenonena.hence you might loose as well.
 
Nilikuwa mbioni kuandikia hiki kitu ila katika angle nyingine. Ila kwasababu umeandika na michango ya wadau itakayofuata itatia minofu na nnaamini aspect nyingi za ujinga unaoumiza soko la hisa unaotokea ikulu, utaguswa.

Kwakifupi sidhani kama rais ana utaratibu wakuanalyse cost -benefit dimensions za maamuzi yake..Maamuzi yake juu ya taasisi za fedha na makampuni makubwa yamekuwa very erratic at best.

Hajui athari za kuondoa confidence kwenye soko la hisa. Confidence ndio kila kitu kwenye soko la hisa. Watu wanawekeza, pamoja na kuangalia past trends, risk correlation between assets, management stability, na factors nyingine, ila kikubwa zaidi watu wanawekeza kwaajili ya matumaini ya kupata zaidi siku za mbele.

Sasa matamko na vitendo vya rais wetu yamekuwa yakipiga teke confidence kwenye masoko ya hisa. Kuna vitendo ambavyo yeye anaviona ni single, independent and isolated events lakini kiukweli investors hawavioni hivyo.

Ni myopic mind tu itadhani kwamba muwekezaji kwenye cement hawekezi kwenye sukari, bank au kwenye madini. Most investors invest in a portfolio of assets as a means of reducing risk. Hivyo wakiona maamuzi kwenye baadhi ya assets hayaeleweki, then overall confidence inakuwa hit.

Sasa rais anaua uchumi kwa assumption ya 'simple chemistry '!!!
Ninaamini washauri wa kiuchumi wengi nguli na wanaoinukia,wanaichukia na kuishangaa hali ilivyo nchini. Nina amini wanachukia na pengine wanasema sema kwa mkulu. Shida mkulu haambiliki. Anadhani uchumi wa nchi unashughulikiwa kwa kujifungia pekeyake katika maabara kama vile anafanya majaribio ya chemia.
Wakati umefika wa wataalamu wetu kunitoa kimasomaso na kulisema hili kwa sauti. Hakuna kusubiri tena.
 
Overtime he will understand the impact of his statements but let's not jump in conclusion and make it sound like its the end of the world; he has his own reasons kuhimiza deposits ziende NMB, na the issue of minerals, He has good intentions but we just need to give him time to work out the best way forward;
you seems to backing blindly what he is uttering do you thing of people who invested their fortune/money on those ventures? where is fair competition of selling service product if the.president is campaigning for one bank? have you thought of the implications to other banks and general public?
 
being in this business, i have learnt to be absolutely impartial, do i like some of the things he is doing NO, but until you try to understand what he is doing you will never know why he is doing what he is doing;

The president has good reasons to do what he is doing, but there way he is doing is open to questions and interpretations; He is still in his first term as President, and just like anyone there are so many things he needs time to learn and understand how things work; campaigning for one bank is not a good thing in the country where you want to promote open market; He needs to understand that, until then lets hope for the best; criticizing him just do half the job;
 
time will tell,he is also capable of making it worse.do you think we have such freedom to advise him? not to that extent.

There is freedom to advise him, but in TZ technology has grown faster than public education, TZians seem to adopt US and UK freedom of speech where you can insult a leader, that is against our culture, so its important for TZnians to first understand there is culture in TZ, TZ is not US or UK and that freedom of speech is determined by the environment they are in, so yes, you can write makala/article in any news paper and advise the President but people are not using those instruments, instead the use social media to throw solutions (and insults) <- that wont work, and eventually when it works it will take longer than what i have previously described
 
you sound very naive.if dropping of transaction per day fall from 33:3 to 3:3 billion You call it brown out of proportion it is absurd.
Also making money on political agenda is not guarantee phenonena.hence you might loose as well.

i sound naive but i am not naive, i decide to sound naive because we live in the world where everyone is an expert and they what to believe whatever they say is TRUE, and in fact its little facts with alot of emotional bias to it; everyone needs to calm down

i am not sure how long you have been following Stock Market but at the moment with political turmoils everyone, more money is made based on political changes than any other time before; if you think its a past phenomenon, welcome to the new world!
 
mkuu latest alisema hela/transactions zifanyike NMB kwakuwa walipewa gawio karibuni.sio CRDB. Hiyo CRDB anatamani hata aifilisi nadhani

Kamanda nashukuru kwa kunisahihisha uko sahihi; kweli aliipigia debe NMB na bei ya hisa zake ikaaimarika!!
 
Sina uhakika kama wengi tunajua kuwa Vodacom inauza tu hisa "Voice & Data" ambazo haiingiizi kampuni faida kubwa kutokana na ushindani mkubwa. MPesa haiko kwenye kuuza hisa!
Huu ni uongo mtakatifu tafuta Vodacom IPO prospectur soma uelewe usipende kulishwa maneno, Mpesa ni Moja ya product za Vodacom sasa unawezaje kutenganisha product za kampuni kwa mmiliki??mnapewaga matango pori ya vijiweni mnakurupuka tu
 
Back
Top Bottom