Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #41
Kabisa kakaMademu wa congo DRC wanawajua Watanzania kuwa ni wepesi kuibiwa hasa ukiwa mgeni, pia wabongo usingizi tunalala sana, pia mademu wa congo DRC wanapewa cover na askari wao ni michongo. Una afadhari angekusingizia umemla fasi ya nyuma kwa force ni nyoko wale mbwa.
Mi naenda sana huko kupambana na Uonevu, dhuluma na ufala kwenye harakati zangu.
Aisee, huyo mtu bado una mawasiliano naye?Umenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi.
Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia. Asubuhi nikampa 50k akasema nimuongeze hela nikaanza kulialia njaa kwamba Sina kitu.
Akacheka Sana akaniambia "mkiibiwa mnaanza kulialia, kwenye begi umejaza mihela na usiku umelala Kama umekufa nimekagua mpaka na nguo nimetoa zote nje then nikarudishia. Ningeamua kuondoka si ningeenda kufungua hata biashara huko mbele kwa mbele".
Asee nilitoa jasho Kama nusu ndoo nadhani, ilibidi nimpe 300k Kama zawadi nje ya ile 50k.
Kabisa ni hatari mno yaani naunga mkono hojaUasheati na uzinzi ni uchafu. Msiukaribie.
🤣🤣🤣jf kwa chai hahaha chai hii bwanaUmenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi.
Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia. Asubuhi nikampa 50k akasema nimuongeze hela nikaanza kulialia njaa kwamba Sina kitu.
Akacheka Sana akaniambia "mkiibiwa mnaanza kulialia, kwenye begi umejaza mihela na usiku umelala Kama umekufa nimekagua mpaka na nguo nimetoa zote nje then nikarudishia. Ningeamua kuondoka si ningeenda kufungua hata biashara huko mbele kwa mbele".
Asee nilitoa jasho Kama nusu ndoo nadhani, ilibidi nimpe 300k Kama zawadi nje ya ile 50k.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti anasononeka kilingala kumbe alikuwa anakuvizia akupigeMkuu demu alikuwa anakiuno kilaini nilipiga hadi nikalala nachapa hadi mtoto anasononeka kilingala nikalala hadi asubuhi kumbe usiku alifanya uhuni kaniibia simu,laptop na faranga,pete zangu za silva zote zikaenda
Duu unahela halafu unalala na malaya unadhani ataziacha unabahati una mabosiAloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?
Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.
Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa
Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
🤣Duu unahela halafu unalala na malaya unadhani ataziacha unabahati una mabosi
Alitaka kunipeleka heaven[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti anasononeka kilingala kumbe alikuwa anakuvizia akupige
🤣🤣🤣jf kwa chai hahaha chai hii bwana
Safi sana.🤣🤣🤣jf kwa chai hahaha chai hii bwana
🤣Wewe jamaa boyq sana,ukikojoa Cha kwanza mtimue,chukua mwingine
Halafu after business haihitaji kujuana hata mkikutana kesho asubuhi,hata Kama Ni jirani yako ulimnunua ukimkuta meza koromeo lako,ukiibiwa Ni Siri yako ,hutakiwi kulia lia
Ni true story sio chaiSafi sana.
Huyu hakuwa na roho ya kichagga kabisa,ukiwa na kazi zako muhimu na akaunti imejaa hela epuka ulevi na wanawakeUmenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi.
Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia. Asubuhi nikampa 50k akasema nimuongeze hela nikaanza kulialia njaa kwamba Sina kitu.
Akacheka Sana akaniambia "mkiibiwa mnaanza kulialia, kwenye begi umejaza mihela na usiku umelala Kama umekufa nimekagua mpaka na nguo nimetoa zote nje then nikarudishia. Ningeamua kuondoka si ningeenda kufungua hata biashara huko mbele kwa mbele".
Asee nilitoa jasho Kama nusu ndoo nadhani, ilibidi nimpe 300k Kama zawadi nje ya ile 50k.
Hamna mkuu, na nilishahama huo mkoa.Aisee, huyo mtu bado una mawasiliano naye?
Mtu sana huyo asiee!
Kuanzia hapo nilijifunza mkuu. Sikuwahi kurudia hiyo kitu.Huyu hakuwa na roho ya kichagga kabisa,ukiwa na kazi zako muhimu na akaunti imejaa hela epuka ulevi na wanawake
Umepiga kwenye mshono. Kwanza nilikuwa na miezi minne kazini, na nilipewa jukumu Hilo Kama mtego(nilikuja kuambiwa baadae Sana). Mpaka leo najiulizaga Kama angeondoka na ile pesa ingekuwaje sipati majibu.Najua wakati huo kiwango chako cha ujinga kilikuwa juu sana.
Nina ela nyingi kiasi hicho silali na mwanamke simjui labda awe mke wangu wa ndoa.
Huu ushafika mwaka 2024 nini huko kwenuAloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?
Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.
Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa
Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
SijakuelewaHuu ushafika mwaka 2024 nini huko kwenu