Kununua malaya kulitaka kunitoa roho DR Congo

Kununua malaya kulitaka kunitoa roho DR Congo

Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?

Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.

Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa

Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
"Soki azali elongo na mike ,amimonaka MWASI KITOKO mwasi ya malonga" haha
 
Milio ilikuwa geresha
Jamaa alidhani ndio anamkuna [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ndio anaingizwa mtegoni, siku zote mtega mtego hategi sehemu isiyopita nyama.
Rafiki yangu mmoja alimuacha mpenzi wake kisa kila anapokula mzigo demu hatoi miguno ya kusikilizia utamu wala haililii akaona kama hawezi kumkuna [emoji23]
 
Umenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi.

Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia. Asubuhi nikampa 50k akasema nimuongeze hela nikaanza kulialia njaa kwamba Sina kitu.

Akacheka Sana akaniambia "mkiibiwa mnaanza kulialia, kwenye begi umejaza mihela na usiku umelala Kama umekufa nimekagua mpaka na nguo nimetoa zote nje then nikarudishia. Ningeamua kuondoka si ningeenda kufungua hata biashara huko mbele kwa mbele".

Asee nilitoa jasho Kama nusu ndoo nadhani, ilibidi nimpe 300k Kama zawadi nje ya ile 50k.
Mkuu kisa chako kinafanana na changu pale dodoma yule dada kiukweli namshukuru hadi leo na mbaya zaidi pesa haikuwa yakwangu
 
Mkuu kisa chako kinafanana na changu pale dodoma yule dada kiukweli namshukuru hadi leo na mbaya zaidi pesa haikuwa yakwangu
Daah ni hatari sana boss. Huyu wa kwangu baada pale tulikuwa washkaji Sana akafungua biashara ya kuuza chips nikambust kimbinu nilivyohama ule mkoa tukapoteana asee.
 
Umenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi.

Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia. Asubuhi nikampa 50k akasema nimuongeze hela nikaanza kulialia njaa kwamba Sina kitu.

Akacheka Sana akaniambia "mkiibiwa mnaanza kulialia, kwenye begi umejaza mihela na usiku umelala Kama umekufa nimekagua mpaka na nguo nimetoa zote nje then nikarudishia. Ningeamua kuondoka si ningeenda kufungua hata biashara huko mbele kwa mbele".

Asee nilitoa jasho Kama nusu ndoo nadhani, ilibidi nimpe 300k Kama zawadi nje ya ile 50k.
Duuh watu mnavisa ila 25m ya watu parefu mno asee
 
Back
Top Bottom