Kununua ngono vs kumiliki mchepuko

Kununua ngono vs kumiliki mchepuko

% kubwa ya females ni wadangaji, sema tu hatujui yaliyopo mioyoni mwao. Hata hawa tunaoona wapo na baby zao wanadanga pia, so kujiuza ni suala pana sana. Hasa wadada wa mijini ni hatari.
Unakuta mwanamke hana kazi, ila kapanga apartment analipa 300,000 kwa mwezi plus bills kibaooo za kusolve but hakai mtaani akijiuza, Huyu ni hatari na gharama zaidi ya yule wa barabarani kwani yule wa barabarani pengine huchukua hatua za kujikinga na magonjwa ila huyu sidhani!
 
Bora mchepuko.
Kwa malaya wana masharti kweli.
Style moja,ukishika kiuno unapigwa makofi ya mikono, ukichelewa unaitiwa wamasai.
Bora mchepuko.
Unapiga shoo unavyotaka wewe.
Hata ukimpa elfu 5o kihalali kabisa.
 
Kila kimoja kina umuhimu wake. Kama huna hela ya uhakika unaweza kuwa unakula machangu wanaojiuza ila kama huko fresh michepuko ina raha yake. Uzuri wa michepuko ni kwamba mnaweza mkasaidiana mawazo hata kukuliwaza kwa ushauri au kukudekeza na pia mnaweza ukaboreka mkaongea au mkachati. Mapenzi sio kuchovya tu kuna mengi ndani yake kama kuongea kuzinguana kudekeana mambo ambayo hupati kwa wa kununua

Wakununua wana faida zake maana mnamalizana unasepa. Hiyo ni nzuri kama umeenda sehemu ya mbali ukashikwa na hitaji la ngono na pia hawa hawana mizinga sijui baby kuna wigi nimeliona sijui simu imezingua, nauli ya bajaji n.k zote hizo hazipo

All in all lazima uwe na mke, mchepuko na ununue machangu
Unajua najiuliza what if kusingekuwa na:-
HIV
Hepatitis
Gonorrhea n.k
Raia tungejiachia sanaaaa
 
Ikimbie zinaa ili uweze kuona ufalme wa Mungu.

Kumbe bado watu wanahudumia michepuko, achana na mademu cheapest wa mtaani wasio na kazi ya kufanya, au wana vyuo hutokaa utoe pesa za kodi, saloon, na chakula
 
Najuta kufungua huu uzi
Badala tuonane zinaa mbaya ndio kwanza tunai glorify so sad....[emoji26][emoji26]
 
Wewe mwenyewe ndio wale wale tu maana bado unakomalia huu uzi mpk unakomenti. Kwanza hamnaga mlokole humu JF maana kama mlokole kweli usingeandika jina feki
Sawa asante kwa kutimiza wajibu wako wa ku comment [emoji16]
 
Kila kimoja kina umuhimu wake. Kama huna hela ya uhakika unaweza kuwa unakula machangu wanaojiuza ila kama huko fresh michepuko ina raha yake. Uzuri wa michepuko ni kwamba mnaweza mkasaidiana mawazo hata kukuliwaza kwa ushauri au kukudekeza na pia mnaweza ukaboreka mkaongea au mkachati. Mapenzi sio kuchovya tu kuna mengi ndani yake kama kuongea kuzinguana kudekeana mambo ambayo hupati kwa wa kununua

Wakununua wana faida zake maana mnamalizana unasepa. Hiyo ni nzuri kama umeenda sehemu ya mbali ukashikwa na hitaji la ngono na pia hawa hawana mizinga sijui baby kuna wigi nimeliona sijui simu imezingua, nauli ya bajaji n.k zote hizo hazipo

All in all lazima uwe na mke, mchepuko na ununue machangu
Mkuu umalizaji wako unenifanya nicheke kwa sauti,
Kwamba lazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Financially kununua ndio poa,,,,,,
Ila ukitaka starehe mchepuko ndio poa ,,,

Mind that,,,
Ukiboreka kwako unaweza enda kwa mchepuko ukakupikia ukala mkastarehe,,,
Pia unaweza safiri nae mkaspend masiku kadhaa mkarudi,,,,
Lingine mchepuko unaweza kukuzalia kama ukitaka ,,,,

[emoji3544]At your own risk
Vp kuhusu mchepuko ambao ni mke wa mtu?
 
Back
Top Bottom