Kununua Pikipiki 3M, kumpa Boda kwa mkataba, Baada ya Mwaka inakua yake, wewe umeingiza lak 6, ni Wehu.

Boda boda sio usafiri wa umma, ni shida tu ndio zimetufikisha hapa Waafrika.
 
Sina nguvu ya kuargue. Inflation inaathiri biashara zote sio pikipiki tu. Na sio kuwa no inflation, kuwa kila mwaka inapanda kiasi icho, hii nchi kwa mda Inflation haija varry kiivyo kuleta shida kwenye biashara ingekuwa hivyo wawekezaji wengi wangekupungua

Kwa mfano wako, wawekezaji wangelaga hasara in millions

Pikipiki kwa siku 485 ร—10000 = 4,850,000/-
Kama umenunua 3,000,000
Faida 1,850,000
Toa operation cost kama zinakihusu let say 300,000/-, bado una 1,550,000/-
 
Heee! Asante kwa kunisanua
 
Hi biashara haiko kama ulivyooandika hapa
Mkataba ni miezi 13 hadi 16 kulingana na aina ya pikipiki
pikipiki hata ikipotea bado muhusika atailipa
Matengenezo ni juu ya dereva na kila kitu ni juu yake
Boss yeye anapokea hesabu tu
 
Sasa mkuu nani ana-argue tena, au umejibu bila kusoma
 
Aliekuambia hzo pikipik wanalipa kwa mwaka tu ni nani,kamuulize tena
 
Hamna aliye-argue nawewe chamdeko unayependa kujiliza na kujipa umuhimu humu. Tafuta wanaokushobokea kajilize kwao uko
Haha
Sawa mama mdogo.
Ukipata mada nyingine nitag tubishane kwa hoja
 
Mkuu mi sijawahi fanya biashara ya bodaboda. Ila kwenye kichwa umesema ya kuwa mkataba ukiisha dereva anabaki na bodaboda, je hili lina ukweli wowote?
 
Mkuu mi sijawahi fanya biashara ya bodaboda. Ila kwenye kichwa umesema ya kuwa mkataba ukiisha dereva anabaki na bodaboda, je hili lina ukweli wowote?
Lipo hivyo halina ubishi, ndio lengo kubwa la mkataba.
 
Business Idea za Wabongo hizo,
 
Yaaani Unatoa 3M,
Unaletewa 10k ร— 365 = 3,650,000
Faida kwa mwaka = 650,000
Faida kwa mwezi = 54,000.
Faida kwa siku = 1,800, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wagonjwa wa akili ni wengi..
Hii Fomula wanaipenda sana Wanawake. Ile kukusanya 10k kila siku wanaona raha huku wamefuga makucha na Lisimu la Itel kubwaaaa!!!

Kwa kuwa mtaji hawajatafuta wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ