Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh kwa niniDuh.....kwa maisha yanavyoniendea nafikiri itakua Gundu.
Nafikiri itakua kwasababu nashinda maeneo yao ya kupumzika. BTW mie ni mwananchi wa kawaida tu(sijui hii ndo hiyo tafsiri yako ya kua maskini sana!)Mkuu ukiwa unanyewa sana na ndege ujue wewe kazi zao ni outdoors au ni maskini sana. Kwanini unyewe na ndege?
usikate tamaa, pambana mastaChoka Mbaya moja haikai, Mbili haisogei.