Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

Wanavutwa sana nywele kwenye 6*6 kusema uchungu wanashindwa kwa sababu huambatana na utamu, mwisho wa siku ni maumivu ya kichwa... Ndiyo maana wanapunguza na wengine kunyoa danga kabisa... Ili ushike kichwa na siyo, kuvuta nywele..
 
Wakinyoa taabu, wakisuka taabu, wakivaa mawigi taabu, hivi nyie wanaume mnataka nn haswa?
Go get a life.
 
Napenda mwanamke akiwa kanyoa na sio minywele yenye harufu mbaya kama .........
Kunyoa ni poa sana sio kupaka midawa inachafua shuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…