Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,786
Ndo mana nmetulia kwake... yani ungempa genes zako tusingefika this far 🙂 🙂Kweli tena, we toa tu bila kujiongeza ila ukiishiwa hilo zigo lako mwenyewe(ila bahati yako pacha wangu anajali utu zaidi pesa baadae)
Hivi imemficha wapi mdogo wangu?
Hahahaaaaa!! Kwanini unaziogopa genes zangu?Ndo mana nmetulia kwake... yani ungempa genes zako tusingefika this far 🙂 🙂
Yupo anakula mema ya nchi, humu mabazazi walizid kumsumbua
kupenda tu dread locks kunatosha. so wapi posa tunapeleka?🙂mweee me sina bana,
Hehhe genez zako anaziweza Kaboom tu... mi innocent ka pacha wako utakua unanionea!!!Hahahaaaaa!! Kwanini unaziogopa genes zangu?
Huyo pacha wangu bahati nzuri ni mifuko tofauti lasivyo ingekula kwako!
Mtunze sana doto wangu, lasivyo nitakihamishia usoni, she is too innocent for bazazis
Ngoja niongee na mzee nijue kama anapokea posa bado tehkupenda tu dread locks kunatosha. so wapi posa tunapeleka?🙂
Tumefunga milango, now tunafanya upembuzi yakinifu, sasa ole wako utusumbueNgoja niongee na mzee nijue kama anapokea posa bado teh
Toooba! Sasa mtu na pacha wake tunajifungua mwaka huu[emoji134] , nani atamsaidia mwenzie!Hehhe genez zako anaziweza Kaboom tu... mi innocent ka pacha wako utakua unanionea!!!
hilo ondoa shaka, shavu lishaanza kumtoka... uanze kutarajia uncle tu mwsho wa mwaka
Teh teh ngoja nijue kwanza posa yake sh ngapi bi mkubwa, au hupendi hela siku hizi?[emoji39] [emoji39]Tumefunga milango, now tunafanya upembuzi yakinifu, sasa ole wako utusumbue
Hela muhimu, ila also we want the best for you, the one who deserves you.Teh teh ngoja nijue kwanza posa yake sh ngapi bi mkubwa, au hupendi hela siku hizi?[emoji39] [emoji39]
comission yako special ipo. tena siyo mablanketi. what say you?Tumefunga milango, now tunafanya upembuzi yakinifu, sasa ole wako utusumbue
Jesus Christttttttttt, kijacho truly came with his miracles... Amen to that darlinHela muhimu, ila also we want the best for you, the one who deserves you.
Hahha we hiyo yako najua ni kiki tu... muda si mrefu tutasikia ya wema lol!!!Toooba! Sasa mtu na pacha wake tunajifungua mwaka huu[emoji134] , nani atamsaidia mwenzie!
We huna uinnocent wowote bwana usimzuge mdogo wangu, ila uwe makini tu lasivyo nitakumafia, ohoooo!
Hahahaaaa! Aisee binti yetu hatumuweki rehani, japo napenda pesa hadi naumwa ila kwahili aisee HAPANA, our doughter is soooo special, hakuna amount yoyote inayoweza kumnunua.comission yako special ipo. tena siyo mablanketi. what say you?
Hahahaaaaa!! Hebu zimia tena.Jesus Christttttttttt, kijacho truly came with his miracles... Amen to that darlin
(fainted.... woke up... fainted again)[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yaani mume wangu ajipinde alafu wewe uje useme kiki[emoji134] , daaah!!Hahha we hiyo yako najua ni kiki tu... muda si mrefu tutasikia ya wema lol!!!
hehehe, haya. 'mamkwe'. unabando la kuanzia weekend?Hahahaaaa! Aisee binti yetu hatumuweki rehani, japo napenda pesa hadi naumwa ila kwahili aisee HAPANA, our doughter is soooo special, hakuna amount yoyote inayoweza kumnunua.
Bando sina, hebu tuma haraka.hehehe, haya. 'mamkwe'. unabando la kuanzia weekend?
Sijaamka bado[emoji133] [emoji133] [emoji133]Hahahaaaaa!! Hebu zimia tena.