Sasa si one step at a time? Hujui hata roma haikujengwa mara moja!!naomba na yale mengine wanayojipaka mdomoni, usoni, waacha na pia kucha wawe wanakata na wasipake mirangi ili wawe more natural
Ucjar tutakufanyia hivyo.I think ni Fashion na uamuzi wa mtu.. Wengine huenda muda hammna au hautoshi (like me ) . Binafsi I do have sensitive skin so Relaxer not my choice anymore ingawaje nilishawahi kuitumia tangu nizaliwe but sikuipenda because haipatani na skin yangu. So now I just prefer natural and I love my natural hair .. Na ningependa on my Wedding day just to go natural . Thanks..
Ucjar tutakufanyia hivyo.