Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,049
- 4,301
Aisee! Kumbe ni kweli ?? Naona watu wana comment majibu ya Kejeli. Sasa sijui ni kwanini ?? Au ndio hawajawahi kukutana na mambo hayo ??Ndio ni kweliiii kabisaa,me niliacha na na mzazi mwenzangu kipindi fulani niliyumba kiuchumi asikwambie mtu,nilivyorudiana naye tu..nikarudi kwa mstariiiii
Sio kweli kwamba wote waliomasikini hawafanyi kazi kwa Bidii. Kasome Mhubiri 9:11Hakuna cha kuendana nyota Wala reli ,fanya kazi kwa bidii na kuwa na nidhamu ya pesa ,lazima utoboe.
Inaweza kuwa ndio suluhu ya Changamoto hii ???Mwambie aongeze mke
Hiyo ngoma ngumu kutoboaHabarini za wakati huu Wazee!
Kama maada inavyojieleza, kuna mshikaji wangu wa karibu sana alinishirikisha Jambo ambalo likanifikirisha sana na kuwa shauku kufuatilia zaidi. Huyu mshikaji wangu yupo Dsm kwa sasa na mimi nipo Dsm kwa muda, jana tukapata muda wa kukutana kupata moja baridi moja moto. Katika stori, jamaa yangu akawa analalamika kuwa maisha yake yamekua hovyo na uchumi wake unazidi kudhiofika siku hadi siku.
Na Changamoto na majanga yalianza kuonekana. Alinisimulia mengi, Changamoto za Uzazi uchumi na maisha kiujumla imekua shida. Ni mwaka wa Sita sasa, Hawajapata mtoto ili hali kabla ya kuoa alipataga mtoto na Alipooa tu alitaka mtoto lakini imekua ngumu. Lakini pia Kila Biashara anayoanzisha inakufa anakula hasara na Kuna Biashara juzi hapa amefunga baada ya mfululizo wa hasara tu kwa Sababu ya mauzo mabovu lakini eneo ambalo Biashara ilikuwepo ni Biashara ni Eneo ambalo lina mishe mishe na Biashara zinafanyika. Maduka yanafunguliwa na yakua ila Biashara yake imekufa.
Kabla ya Kumuoa huyu Mwanamke Mishe mishe zilikua zinalipa. Biashara zake zilikuwa zinaenda vizuri na alikuwa na kausafiri. Sasa hivi amerudi nyuma kiuchumi kwakweli, maana hata mwili wake umepungua na anaonekana mwenye mawazo.
Swali langu kwenu wadau, Je kuna ukweli kwenye haya anayosema huyu Jamaa na Kama ni kweli, Njia ya kutokea hapo hua ni nini ? Kwa wazee wetu mliokula Chumvi Nisaidieni kujua kama kuna namna anaweza kufanya kuondoa hiyo hali ya kutokupatana Damu.
Bado hujakutana na mtu mwenye mikosi kama Neema BuninangeHabarini za wakati huu Wazee!

Neema Buninange ni Nani Kiongozi ?Bado hujakutana na mtu mwenye mikosi kama Neema Buninange
Sijakuelewa vizuri swali lako KiongoziNyota wapi mkuuš¤
Hilo la kwanza kusema suala la kutokuendana sio kwetu weusi tu. Huenda hujafanya tafiti ndio maana unahitimisha kudogosha jamiiya watu weusi kana kwamba sisi ni wajinga sana. Labda wewe ndio upo kwenye hilo kundi. Nina shaka na uwezo wako wa kuelewa mambo. Sio kosa lakoIzi story za kuendana nyota zipo tu huku kwa watu weusi wenye laaana ya milele??
Hakuna cha nyota wala mwezi mkuu, hayo ni mambo ya kusadikikaā¦
Halafu mkuu inaonekana wewe ni mmbea sana.!
Jamaa ako kakuambia uje useme mambo yake huku???.