Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mila hizo.kabila lolote lile ukimtongoza mdogo mtu kama ana dada hajaolewa lazima akuambie tusubirie dada aolewe.. anadai hawezi kuolewa kabla ya dada
Mwanzo 29 : 26 Sikukutumikia kwa Raheli? Mbona umenidanganya? Labani akasema, Havitendeki hivi kwetu, kumtoa mdogo kabla ya mkubwa;Hii naisikia leo,muda huu
Siwezi kuhalalisha kitu Bible imekataa,hapa ndo tunaenda sawa sasa,, je vibaya au sio vibaya
Sinauna dada?/