Kuoa au kuolewa kabla ya dada/kaka

Kuoa au kuolewa kabla ya dada/kaka

Siwezi kuhalalisha kitu Bible imekataa,

But unaweza ongea na dada yako kwa kumweleza aelewe ukampa na kitenge au anything else ili asigune
Nadhani biblia inatakiwa kusomwa kwa umakini sana...ukitumia hiyo aya kuhalalisha hoja yako si sawa.

Kwa Nini? Kwa vile hayo maneno hajayasema Mungu au hajamuagiza nabii ayaseme...isipokuwa maneno uliyoyanukuu ni ya Labani mjomba wake Yakobo. Na hiyo ni kwa mujibu wa tamaduni zao huko ujombani kwa Yakobo.

Kwa hiyo hatuwezi kuyatumia kama msimamo wa biblia.
 
Wachungaji huwa wanapita nayo.. coz hao wanao amini hivo ni watu wa dini na sio mila.
 
Back
Top Bottom