Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapanaa.kwa wachache wengi bdo wanayo hiyo
Kwa nini unasema sio wotesio wote
Kila ntu na maisha yakeKWAHIYO MAMBO FRESH DADA ATAJIJUA MWENYEWE
Nadhani biblia inatakiwa kusomwa kwa umakini sana...ukitumia hiyo aya kuhalalisha hoja yako si sawa.Siwezi kuhalalisha kitu Bible imekataa,
But unaweza ongea na dada yako kwa kumweleza aelewe ukampa na kitenge au anything else ili asigune
Wachungaji huwa wanapita nayo.. coz hao wanao amini hivo ni watu wa dini na sio mila.Nadhani biblia inatakiwa kusomwa kwa umakini sana...ukitumia hiyo aya kuhalalisha hoja yako si sawa.
Kwa Nini? Kwa vile hayo maneno hajayasema Mungu au hajamuagiza nabii ayaseme...isipokuwa maneno uliyoyanukuu ni ya Labani mjomba wake Yakobo. Na hiyo ni kwa mujibu wa tamaduni zao huko ujombani kwa Yakobo.
Kwa hiyo hatuwezi kuyatumia kama msimamo wa biblia.