Kuoa au kuolewa kabla ya dada/kaka

Mila za kipuuzi sana hizo na ndomana watu wanachelewa kufanikiwa Kwa kukumbatia baadhi ya mambo ,Sasa dada akiolewa na miaka 42 watu wasubirie tu
 
Mila za kipuuzi sana hizo na ndomana watu wanachelewa kufanikiwa Kwa kukumbatia baadhi ya mambo ,Sasa dada akiolewa na miaka 42 watu wasubirie tu
ndo swali nimejiuliza hivo kwa muda..
 
vipi mdogo wako akiolewa kabla yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…