Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Unachotaka kumanisha kwamba kilimanjaro hamna walio furia ? Wote wanajiwezaKatika nchi yetu hii nzuri Tanzania yenye fursa lukuki, huku tukiwa na usimamizi imara wa CCM chini ya Samia. Inapasa mtu kujua jambo moja tu ili maisha yako yawe na mafanikio.
Kama hautokei Kilimanjaro hakikisha unaoa au unaolewa na mtu wa Kilimanjaro.
Hakuna watu waliojaliwa vision wanaoweza kubadili kila hali kuwa fursa kama hao.
Leo hii viongozi wengi waliopo na waliopita kama hajao Kilimanjaro basi ameolewa Kilimanjaro.
Watu wengine wanakuwa na pesa lakini hawana mafanikio hawaishi kama inavyopaswa ila kwa mwenye mtu wa Kilimanjaro maisha yake ni baraka.
Wanaakili kubwa akiwa amefulia leo baada ya Mwaka unamkuta tofauti kabisaUnachotaka kumanisha kwamba kilimanjaro hamna walio furia ? Wote wanajiweza
Wana akili kubwa au unjanja unjanja na wizi, wengi hapa dar wanamaliza maisha vibaya kwasababu ya pesa za dhuluma, tuna changia maiti zao kusafirishwa moshi kila ukicha.Wanaakili kubwa akiwa amefulia leo baada ya Mwaka unamkuta tofauti kabisa
Wakati wao wanaenda kuzikwa kwa heshima Moshi nyie mnachimbiwa huko kwenye kona kona za jijiWana akili kubwa au unjanja unjanja na wizi, wengi hapa dar wanamaliza maisha vibaya kwasababu ya pesa za dhuluma, tuna changia maiti zao kusafirishwa moshi kila ukicha.
Kwani wanarudishwa kwa hiari hapana, hata nauri ya kusafiri hawanaWakati wao wanaenda kuzikwa kwa heshima Moshi nyie mnachimbiwa huko kwenye kona kona za jiji
Kama ni mwanaume, ukishafanikiwa jiandae kuuwawa..!!Katika nchi yetu hii nzuri Tanzania yenye fursa lukuki, huku tukiwa na usimamizi imara wa CCM chini ya Samia. Inapasa mtu kujua jambo moja tu ili maisha yako yawe na mafanikio.
Kama hautokei Kilimanjaro hakikisha unaoa au unaolewa na mtu wa Kilimanjaro.
Hakuna watu waliojaliwa vision wanaoweza kubadili kila hali kuwa fursa kama hao.
Leo hii viongozi wengi waliopo na waliopita kama hajao Kilimanjaro basi ameolewa Kilimanjaro.
Watu wengine wanakuwa na pesa lakini hawana mafanikio hawaishi kama inavyopaswa ila kwa mwenye mtu wa Kilimanjaro maisha yake ni baraka.
Ukioa Kilimanjaro unajipa ticket ya kufa ww mwenyew kati ya watu 10 wa Kilimanjaro waliooa wakilimanjaro ni 2 tu ipo wazi wanawake wa kichaga ni hatari ukijipata tu unakuwaisha mbele za haki tembelea nyumba nyingi utakuta wamama tuKatika nchi yetu hii nzuri Tanzania yenye fursa lukuki, huku tukiwa na usimamizi imara wa CCM chini ya Samia. Inapasa mtu kujua jambo moja tu ili maisha yako yawe na mafanikio.
Kama hautokei Kilimanjaro hakikisha unaoa au unaolewa na mtu wa Kilimanjaro.
Hakuna watu waliojaliwa vision wanaoweza kubadili kila hali kuwa fursa kama hao.
Leo hii viongozi wengi waliopo na waliopita kama hajao Kilimanjaro basi ameolewa Kilimanjaro.
Watu wengine wanakuwa na pesa lakini hawana mafanikio hawaishi kama inavyopaswa ila kwa mwenye mtu wa Kilimanjaro maisha yake ni baraka.
Dunia nzima wanaume hutangulia kufariki, sababu kwanza umri unakuwa mkubwa kuliko mwanamke. Ila kwa ninyi mnaooa mabibi wao wanatanguliaUkioa Kilimanjaro unajipa ticket ya kufa ww mwenyew kati ya watu 10 wa Kilimanjaro waliooa wakilimanjaro ni 2 tu ipo wazi wanawake wa kichaga ni hatari ukijipata tu unakuwaisha mbele za haki tembelea nyumba nyingi utakuta wamama tu
kama una pesa ukitaka ufe mapema oa kilimanjaro...Hizi dhana zinachekesha sana!!
Balance maishakama una pesa ukitaka ufe mapema oa kilimanjaro...
kama huna pesa ukitaka ufe kwa stress oa kilimanjaro...
Yeah mnaanzisha mabiashara makubwa,mnajenga magorofa halafu baada ya hapo unakufa anabaki peke yake au analeta mwanamme mwingine wa kumstarehesha ndani ya ghorofa lako.Sio kila mtu lazima awe na pesa ,pesa sio kitu cha asili ...Kikubwa kuishi kwa furaha ,wengi hao jamaa hawatoboi miaka 60.
Tatizo lenu ni hiyo mila ya kutowarithisha wanawake...Balance maisha