To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
đź¤Hizi dhana zinachekesha sana!!
đź¤Hizi dhana zinachekesha sana!!
Wee kwahiyo kilimanjaro yoye ni matajiriii balaaa..Katika nchi yetu hii nzuri Tanzania yenye fursa lukuki, huku tukiwa na usimamizi imara wa CCM chini ya Samia. Inapasa mtu kujua jambo moja tu ili maisha yako yawe na mafanikio.
Kama hautokei Kilimanjaro hakikisha unaoa au unaolewa na mtu wa Kilimanjaro.
Hakuna watu waliojaliwa vision wanaoweza kubadili kila hali kuwa fursa kama hao.
Leo hii viongozi wengi waliopo na waliopita kama hajao Kilimanjaro basi ameolewa Kilimanjaro.
Watu wengine wanakuwa na pesa lakini hawana mafanikio hawaishi kama inavyopaswa ila kwa mwenye mtu wa Kilimanjaro maisha yake ni baraka.
Na kifo kinakuja haraka vilevile huko.Katika nchi yetu hii nzuri Tanzania yenye fursa lukuki, huku tukiwa na usimamizi imara wa CCM chini ya Samia. Inapasa mtu kujua jambo moja tu ili maisha yako yawe na mafanikio.
Kama hautokei Kilimanjaro hakikisha unaoa au unaolewa na mtu wa Kilimanjaro.
Hakuna watu waliojaliwa vision wanaoweza kubadili kila hali kuwa fursa kama hao.
Leo hii viongozi wengi waliopo na waliopita kama hajao Kilimanjaro basi ameolewa Kilimanjaro.
Watu wengine wanakuwa na pesa lakini hawana mafanikio hawaishi kama inavyopaswa ila kwa mwenye mtu wa Kilimanjaro maisha yake ni baraka.
Ipo nyuma ya shinyanga GDP kwa takwimu za nbs 2022Basi kwa miaka 64 hiyo na hata kabla Kilimanjaro ipo kwenye best 5
Kwa kila kigezo cha maendeleo
Hayo hakuna kitu bana wewe🤣🤣🤣.unasema 30 ana 37 ila badooo
Ni ya ngapi Kitaifa?Ipo nyuma ya shinyanga GDP kwa takwimu za nbs 2022
Kilimanjaro ndio mkoa wenye watu wenye umri mkubwa na afya njema kuliko mikoa yote.Na kifo kinakuja haraka vilevile huko.
Siyo Rombo, ni mkoa wote ulevi umekithiri hadi wanaume karibu wote wameathirika. Wanawake wanalazimika kukodi wanaume wa Kenya ili wapate huduma ya kupelekewa moto...80% ya Warombo hawako Rombo sasa hao unaowakuta wanalinda mji na hao walevi wachache ndio makapi
Hata ungefika Israel kabla Wayahudi hawajarudi ungewakuta Wasamaria watupu.
Hizo ni story kama vile usikie kwamba Masaki kila mtu tajiriMbona wapo wazaliwa wa huko na wamefeli.
Hata Rombo inabidi Wakenya wasaidie majukumu muhimu ya kijamii kwa kuwa Vijana maisha yamewapiga wamebaki kupiga pombe kali.