Kuoa au Kuolewa Kilimanjaro ni ticket ya mafanikio

Tatizo lenu ni hiyo mila ya kutowarithisha wanawake...

Mwanamke akiolewa anakua hana njia nyingine zaidi ya kuuwa mumewe apate assurance ya sehemu ya kuishi...
Kabila lipi linarithisha wanawake Tanzania?
 
Kabila lipi linarithisha wanawake Tanzania?
makabila mengi yanarithisha...

ndio maana kesi kama hizi huzikuti...

maana mwanamke anajua akirudi, hata kama wazazi hawapo atapokelewa hata na kaka zake...

kilimanjaro wazazi wakifa, mwanamke hana chake labda kaka zake wawe na exposure sana...
 
Hebu taja kabila moja
 
Wachaga kazi kujisifia tu wakati tunawaona huku Keko Magurumbasi wamepauka mbaya, au hawa sio wenzenu?
 
Unachekesha sana hujui chochote kuhusu makabila ya nchi hii.
sawa, toa utaratibu wa wanyamwezi kwenye mirathi...

kama hujui, unyamwezini mtoto wa kiume anaweza kunyimwa urithi akapewa wa kike....
 
Uliwahi kufika Rombo??
Asilimia kubwa kule ni chapombe walioshindikana
 
90% ya Vingozi wameoa Kilimanjaro wachache bila kujali ukubwa na umuhimu ni
Mkapa, Sumaye, Malecela, Aweso, Mwigulu, Msekwa, Kibajaji, Ndugai, Mwinyi hao ni wachache tu
Ndugai alishituka mapema...

Huo utamaduni wenu umefanya wanawake wa huko wakose utu mbele ya mali...

Mtu anaolewa ila kichwani anawaza namna atakavyomiliki mali ukifa wtf...
 
Wana akili kubwa au unjanja unjanja na wizi, wengi hapa dar wanamaliza maisha vibaya kwasababu ya pesa za dhuluma, tuna changia maiti zao kusafirishwa moshi kila ukicha.
Kuishi kiuanjaujanja na wizi lazima uwe na akili kama watu wa kilimanjaro. Kama boya kichwani utaweza kumtapeli mlugaluga kweli.
 
Uliwahi kufika Rombo??
Asilimia kubwa kule ni chapombe walioshindikana
80% ya Warombo hawako Rombo sasa hao unaowakuta wanalinda mji na hao walevi wachache ndio makapi
Hata ungefika Israel kabla Wayahudi hawajarudi ungewakuta Wasamaria watupu.
 
Ndugai alishituka mapema...

Huo utamaduni wenu umefanya wanawake wa huko wakose utu mbele ya mali...

Mtu anaolewa ila kichwani anawaza namna atakavyomiliki mali ukifa wtf...
Kiko wapi alichopata alikokwenda?
 
Japo ameondoka ila ni uhakika watoto wake wote watapata wanachostahiri...

Angeendelea na mchaga, watoto aliozaa kwingine wasingepata kitu...
Amezaa wapi kwingine? Ongea vitu ukiwa unajua Fatuma Mganga hawajazaa nae mtoto
 
Mada zingine hizi zinataka kutugombanisha tu na watu wetu wa karibu wenye asili ya mkoa wa Kilimanjaro.
Bwashee tunao watu kibao toka mkoa huo wamechoka sana na kwa miaka mingi tu.
Ukweli ni kuwa wengi wanajua kutafuta pesa kuliko watu wa baadhi ya maeneo mengine ya nchi yetu.
 
michepuo inaruhusiwa ikiwa tu tayar tumeoa huku kwa wayao, kutwa kucha viuno?
 
Wana akili kubwa au unjanja unjanja na wizi, wengi hapa dar wanamaliza maisha vibaya kwasababu ya pesa za dhuluma, tuna changia maiti zao kusafirishwa moshi kila ukicha.
Hi ni kweli kabisa, na wengi wanakufa wakiwa vijana wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…