Kuoa au Kuolewa Kilimanjaro ni ticket ya mafanikio

Ni kinyume kabisa. Wanavyozidiana wao kwa wao na wengine kama vile wapare kuwa wachoyo sioni cha maana hapa zaidi ya uchuro na hasara.
 
Hilo sio kabila la kuoa .
KIBURI,jeuri dharau kutaka kukutawala unaweza ukauwa mtoto wa mtu.
Ni mbegu nzuri ikikutolea mtoto ila sio kuoa
 
90% ya Vingozi wameoa Kilimanjaro wachache bila kujali ukubwa na umuhimu ni
Mkapa, Sumaye, Malecela, Aweso, Mwigulu, Msekwa, Kibajaji, Ndugai, Mwinyi hao ni wachache tu
Sababu ni kuwa unapokiwa katika umri wa masomo,wanawake wengi huko unaokutana nao ni wachaga.mfano mzuri ni mie hapa toka A-level mpaka chuo mademu nilikuwa nakutana nao ni wachaga tu.

Simushauri mwanaume yoyote kuoa uchagani ni hatari sana kuoa mwanamke aliyetanguliza tamaa za pesa kuliko utu.
 
Kilimanjaro,moja ya mikoa yenye umasikini mzuri tu
 
Hizo zama zimepita, by the way, mbona wachaga waliochoka wapo kibao tu, sema wanakufa na tai shingoni.....watu wote wanapambana siku hizi...kila mtu mjanja..
 
Njoo chunya huku wanaume wanatafuta dhahabu chini ardhini koleo 80 wanamiliki biashara kubwa na hawapigi kelele, wewe kumiliki kibanda cha chips unaanza kuongea utoto. Stori za vijana miaka 22 19
 
Usipooa Mchaga baada ya miaka 10 utakuwa unawaangalia wenzio wana maendeleo wewe upo tu na kipara chako
 
Sawa shemeji umeeleweka
 
Mbona wapo wazaliwa wa huko na wamefeli.
Wachaga kazi kujisifia tu wakati tunawaona huku Keko Magurumbasi wamepauka mbaya, au hawa sio wenzenu?
Hata Rombo inabidi Wakenya wasaidie majukumu muhimu ya kijamii kwa kuwa Vijana maisha yamewapiga wamebaki kupiga pombe kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…