Kuoa au Kuolewa Kilimanjaro ni ticket ya mafanikio

Wee kwahiyo kilimanjaro yoye ni matajiriii balaaa..
 
Usioe Kilamanjaro kama unataka kuishi miaka mingi.
Wanawake wa mkoa huobni majambazi,takataka.
 
Na kifo kinakuja haraka vilevile huko.
 
Hii dhana ilikuwa zamani miaka ya 2000s,ikaja dhana kwamba mkishatafuta mali na na mtu wa kaskazini anakutanguliza mwanaume,na kadharika ni nadharia tu

Ila kiukweli most of watu wa kaskazini ni Bright sana somehow,ila siku hizi wanajiita. Wadudu
 
80% ya Warombo hawako Rombo sasa hao unaowakuta wanalinda mji na hao walevi wachache ndio makapi
Hata ungefika Israel kabla Wayahudi hawajarudi ungewakuta Wasamaria watupu.
Siyo Rombo, ni mkoa wote ulevi umekithiri hadi wanaume karibu wote wameathirika. Wanawake wanalazimika kukodi wanaume wa Kenya ili wapate huduma ya kupelekewa moto...

Tatizo la ulevi Rombo: Wanawake wakodi wanaume kutoka Kenya kufanya nao ngono | JamiiForums Tatizo la ulevi Rombo: Wanawake wakodi wanaume kutoka Kenya kufanya nao ngono

Ya Rombo na yatufumbue macho sote | Mwananchi https://share.google/C2WWTTfGSpH6ZoKCj
 
Mbona wapo wazaliwa wa huko na wamefeli.

Hata Rombo inabidi Wakenya wasaidie majukumu muhimu ya kijamii kwa kuwa Vijana maisha yamewapiga wamebaki kupiga pombe kali.
Hizo ni story kama vile usikie kwamba Masaki kila mtu tajiri
 
Imeandikwa ni lazima iwe ngumu ili wapate wachache, variation ni muhimu utakuwa na pesa huna furaha, utakosa pesa utakuwa na furaha ndo maana vidole havilingani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…